Ushauri: Mume wangu karudi safari, baada ya kukaa miezi 4, amekuwa tofauti kitandani

busura zaidi

Senior Member
Aug 24, 2016
111
151
Nina ndoa ya miaka 5, nina watoto 2, mume wangu yuko mkoa mwingine kimasomo, namjua vizuri kunako majomboz hakurudi nyumbani kama miezi 3 au 4 hivi kutokana na ubusy wa chuo na pia pesa haikua vizuri aliporudi nikiwa na hamu nae nimejikuta mi ndo nahitaji penzi yeye kama anajifosi yaani kana kwamba haitaji penzi.

Nikamuuliza mbona uko hivo na hatujaonana muda akajibu yuko sawa, alinipa penzi lakini tangu anaanza shughuli hadi anamaliza tunachukua kama dk 45 au saa1, kiukwel huwa ananirizisha vya kutosha kilichonistua yuko kimya najaribu kuongea nae kimahaba jinsi nilivyommiss na jinsi anavyonichezea lakini hajibu kitu yuko kimya anapiga tu mzigo, naita jina lake haitiki ambavyo hayuko hivo huwa anaitika ananijibu tunaongea, nilipomaliza nikamuuliza una shida gani mume wangu akajibu hana shida.

Tumeenda hivo hivo sasa ana wiki 3 amekuwa bubu, na kawaida akimaliza namwambia asante hapo ndo atajibu, sasa nimejikuta hamu ya kusex imeniishia na nimejikuta siongei tena jinsi navyofili tukifanya mapenzi nakuwa kama bubu nami, akaja niuliza mbona umebadilika nikamjibu wewe ndo umenifanya hadi nakosa hamu kutokana na kubadilika kwako hakunijibu akalala.

Niko njiapanda nampenda sana mume wangu naridhika na shuguli yake lakini nimejikuta nawaza kutafuta mtu nje kitu ambacho sikipendi sababu ya hofu ya Mungu niliyonayo, je hiyo ni hali ya kawaida kwa mwanaume kuwa bubu mwanzo mwisho? Ilihali hakuwa hivo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hakuwa hivyo, mpe muda! Hiyo shoo ya kibabe ndo tatizo la wadada wengi sasa kama unaipata kibubu na safari inakamilika, vuta subra....otherwise, tafuta huyo wa kukuitikia na kupiga kelele ila usije na utafiti....WANAUME WA SIKU HIZI MAJANGA.
 
Pole sana bibie, ila hata ingelikuwa ni nini, huruhusiwi kutoka nje. Umesikia?? Wewe anakutimizia vyote hadi 45 na 60 min wewe unasema kakubadilikia?? Angelikuwa kaonja nje, wadhani wewe used angemaliza 15 min?? Kweli, kua uone mengi. Ongeza zile asante na asante na asante nyingi hadi akumbuke sauti yako.
Umesoma hadi chuo wewe?? Ukutane na ma stress ya chuo. Ma sap na ma re seat halafu umkumbuke mkeo unaye mpenda yuko mbali hujui ka ni muaminifu. Huku mfuko umebanwa ili uweze kujisomea somo lako. Acha kumuua mtu wa watu kwa Bp.
 
Yaani unafikiria kutoka nje ya ndoa kisa wakati wa kugongwa siku hizi ni kibubububu tu,we kweli inawezekana una vielement vya Ukahaba sema tu umeolewa,ina maana na huko unakofikiria kwenda ukikutana na jamaa hamuongeleshani kunako mtomboni utamtafuta mwanaume mwingine??
 
Nina ndoa ya miaka 5, nina watoto 2, mume wangu yuko mkoa mwingine kimasomo, namjua vizuri kunako majomboz hakurudi nyumbani kama miezi 3 au 4 hivi kutokana na ubusy wa chuo na pia pesa haikua vizuri aliporudi nikiwa na hamu nae nimejikuta mi ndo nahitaji penzi yeye kama anajifosi yaani kana kwamba haitaji penzi.

Nikamuuliza mbona uko hivo na hatujaonana muda akajibu yuko sawa, alinipa penzi lakini tangu anaanza shughuli hadi anamaliza tunachukua kama dk 45 au saa1, kiukwel huwa ananirizisha vya kutosha kilichonistua yuko kimya najaribu kuongea nae kimahaba jinsi nilivyommiss na jinsi anavyonichezea lakini hajibu kitu yuko kimya anapiga tu mzigo, naita jina lake haitiki ambavyo hayuko hivo huwa anaitika ananijibu tunaongea, nilipomaliza nikamuuliza una shida gani mume wangu akajibu hana shida.

Tumeenda hivo hivo sasa ana wiki 3 amekuwa bubu, na kawaida akimaliza namwambia asante hapo ndo atajibu, sasa nimejikuta hamu ya kusex imeniishia na nimejikuta siongei tena jinsi navyofili tukifanya mapenzi nakuwa kama bubu nami, akaja niuliza mbona umebadilika nikamjibu wewe ndo umenifanya hadi nakosa hamu kutokana na kubadilika kwako hakunijibu akalala.

Niko njiapanda nampenda sana mume wangu naridhika na shuguli yake lakini nimejikuta nawaza kutafuta mtu nje kitu ambacho sikipendi sababu ya hofu ya Mungu niliyonayo, je hiyo ni hali ya kawaida kwa mwanaume kuwa bubu mwanzo mwisho? Ilihali hakuwa hivo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nani amempata taarifa jua yule anaelumendea anaogopa kukuliza hana ushaihidi wa kutosha
 
Back
Top Bottom