Hizi ndizo Akili za Wanawake Wasomi...

Hizi ndizo Akili za Wanawake Wasomi...

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
1. Awe na Kiwango cha Juu Cha Elimu Kuanzia Master n.k

2. Awe na Gari Yake Mwenyewe

3. Awe na Nyumba Nzuri yake mwenyewe

4. Awe na Maamuzi yake Mwenyewe Asibabaishwe na Mtu


Halafu Apate Mwanaume Wa Kumuoa...

Sent From INFINIX NOTE 3 PRO
 
Kwa hiyo ni sawa kabisa mwanamme msomi
1.awe na nyumba zake
2.biashara zake
3.magari yake
4.mwanamke wake mrembo sana amuoe
5.sidechicks wake
6.asibabaishwe

Ila mwanamke msomi awe na elimu yake tu na atake kubabaishwa?[emoji30]
 
mbona hujazitaja hizo akili zenyewe ama mimi ndio sizioni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom