Msaada kwa walokole juu ya mahusiano kwa huyu msichana nimpendae

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Bwana Yesu apewe sifa habari za usiku,

Tukianza na mada kilichonileta hapa kuna dada nimetokea kumpenda sana kwa kipindi cha miaka mitatu sasa3 sasa mimi ni kijana niliyelelewa kwenye misingi ya dini hivyo sijawahi kumeleza wazi hisia zangu kwa sababu zifuatazo;

Kwanza, nimejaribu kumjenga katika mazoea ya urafiki kwanza ili niweze kumtambua zaidi na kuaanda mazingira ya kumueleza ukweli pasipo poteza muujiza huu.

Pili, nimeendelea kutulia zaidi kwa Mungu kwa kuendelea kumuombea kwa Mungu mpaka pale nitakapoona wakati sahihi Mungu.

Kwanini nakuja JF?

-Je ninachokifanya sahihi kuendelea kumsubiri?

-Kuna athari nitapata nikiendelea kutunza huu muujiza wa huyu dada?

-Kitu gani ninaweza kufanya zaidi huyu mdada anipende mimi pasipo kipingamizi?

My note;
-Unaruhusiwa mtu yoyote kuchangia.

-Ushauri wenu utanijenga zaidi.
 
Umri huo wa kuwa shule ndugu hasa ukizingatia jinsia yako
Sijaongelea suala la shule cha kwanza na suala la mahusiano ni la mtu binafsi so sijaweka wazi hatua ipi ya elimu niliyonayo ningetaka ningeweka tu

natumia simu ya Mama nimeazima
 
Back
Top Bottom