Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwani huwa mnauliza ili mgundue niniii...?? Ww subiri utongozwe Ndo utajua namba nilipata wapi Yaan adi nyie Single mother watu wazima mnauliza hilo swali..???Serious..!!! Aghaaaaaaaaa mnanikera...
7 Reactions
81 Replies
10K Views
hayo maneno matatu hapo juu huwa nayasikia yanatumika sana, kiukweli huwa naenda na mukmbo tu sababu siyaelewi vizuri. Jini mahaba ni nini? Na humpata mtu wakati gani? Kwa nini huhusishwa na...
3 Reactions
50 Replies
48K Views
Mi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nimeajiriwa na nina mwaka wa pili sasa ila napata tabu kwan nala vyakula vya mahoterin kila cku mpaka muda mwingine nakosa hamu ya kula, Nguo zinanichosha...
2 Reactions
308 Replies
23K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania, Mwenye miaka 33 nakaribisha, Wanawake kwa wasichana wenye, Nia ya dhati ya kuanza uhusiano, Utakao elekea katika ndoa. Sifa; Ucha Mungu, Dini yeyote, (Nipo tayari...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Jaman ndugu zangu JF naomben msaada nna mpenz wangu ambaye nampenda sana ila mara nyingi nkikutana naye huwa kisiran sana namuuliza n tatizo ananijibu jeuri na kuna wakati ananiambia kuwa c yy bal...
1 Reactions
27 Replies
30K Views
Habari wanajamvi , kama kichwa cha uzi wangu kinavyosema , mimi ni kijana mvulana ambae nipo kwenye mahusiano na msichana wangu takribani miaka miwili sasa, kiukweli huyu msichana she is...
3 Reactions
299 Replies
22K Views
KUNA baadhi ya sababu zinazosababisha watu kuoana pasipo kufanya maamuzi sahihi. Wanandoa wengi huingia katika ndoa wakitegemea mambo mengi kubadilika, kitu ambacho ni makosa yanayosababisha ndoa...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari wakuu, Poleni na kashkash za ngosha,mimi naishi peke yangu kikazi huku kanda ya kaskazini japo familia yangu iko mkoa mwingine. Kuna jirani yangu anaishi chumba na sebule,ana mke,na watoto...
8 Reactions
50 Replies
6K Views
ok
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni kijana umri miaka 28 natafuta binti kuanzia miaka 22 - 27 aliye tayari kuolewa. Mengi zaidi tutajadili PM. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau natumai ni wazima, Rejea kichwa cha habari hapo juu, 1. Sio mahusiano yote huishia ndoa. Mahusiano mengine yapo kama somo kwako, mengine ni ya msimu na machache ndio hua ya kudumu...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Wadau habarini za kazi? na poleni na majukumu ya hapa na pale katika kulisukuma gurudumu la maisha. Leo ningependa niseme changamoto mbali mbali nilizokutananazo katika Love connect 1:Seriousness...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Povu sitaki huu ni ukweli usiopingika, Wanawake wengi wanajua mapenzi na wengine hata kujua kufanya mapenzi, ila hawajui kukata kiu ya mapenzi kwa wanaume. Na ndo maana kumekuwa na malalamiko...
9 Reactions
437 Replies
45K Views
Wanajukwaa nahitaji mwanamke, black beuty, kabila lolote, macho makubwa, elimu na dini sio kipaumbele kwangu. Nipo Mbeya nina kazi yangu, nina umri 27. Ila azizidi miaka 24. Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaani akili imestack ghafla hapa, kuna mtoto mmoja nilikua namhangaikia siku nyingi sana bila mafanikio. Ashakula hela zangu ila hatoi zigo. Sasa baada ya kumsumbua na vishawishi vya hapa na pale...
3 Reactions
146 Replies
17K Views
Pamoja na wote walioguswa na ukatili huu wa majambazi waliomfanyia Mtanzania mwenzetu. Naungana kumpa pole sana Mtz mwenzetu. Huwezi jua adui yako Mana maisha y ana changamoto sana. Ogopeni majibu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Salaam wana MMU Wakuu sijui mwenzenu ndo nna nguvu nyingi za kiume,sijui tamaa au sijui ni nini hii. Yani kila nkipata namba ya demu lazima nimtongoze yani kumwacha aende hivi hivi bila kumpiga...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Endapo utawaona mwanamume na mwanamke wako ndani ya gari wawili tu wanaenda kazini mathalan. Au wanatembea kwa miguu pamoja na hakuna mazungumzo kati yao. Na ukiwaangalia nyuso zao hakuna mwenye...
11 Reactions
87 Replies
11K Views
Habari ya weekend wana kijiji wenzangu wa humu ndani, ni muda mrefu sijazungumza chochote Leo naomba tushirikiane hili hasa kwa wanaume, Wanaume wengi sasa Wamekosa kujiamini mbele ya mwanamke...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Wakuu ,kama mnavyoona hapa naandika mdaa huu ni karib saa nane za usiku,leo nilikua najipumzisha samak samak ,nilienda bila mwenza leo kwasabab zangu binafsi,..sasa muda wa kuondoka,kuna madada...
12 Reactions
101 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…