Hivi kuoa nikiwa na miaka 23 ni sahihi wakubwa

Abdalah Lyimo

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
269
153
Mi ni kijana mwenye umri wa miaka 23
Nimeajiriwa na nina mwaka wa pili sasa ila napata tabu kwan nala vyakula vya mahoterin kila cku mpaka muda mwingine nakosa hamu ya kula, Nguo zinanichosha kufua mpaka muda mwingine naamua kwenda dukan kununua ilimradi nisifue
Ninapoishi nyumba nayo inataka kufanyiwa usafi mpaka nafikiria kuoa sasa

Nilikua nauliza hivi umri huu wa miaka 23 naweza kuoa nikaishi na mwanamke vizur na kama naoa nioe mwanamke mwenye umri gan ?,
Msaada tafadhali wakuu wangu
 
As long as ni over 18 years wewe ni mtu mzima na unaweza kuoa. Swala la msingi ni kuwa utaweza kuwajibika kama baba kutekeleza majukumu ya familia. Usioe sababu umechoka kupika kufua,Ni wazi kabisa ukioa mfanyakazi mwenzako hayo bado hautayaepuka hivyo utalazimika kuoa mke ambae ni mama wa nyumbani asipokuwa mtu wa kujishughulisha atakuwa tegemezi sana kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thante sana sana axee kwa hyo kumbe hata nikioa ni Yale Yale tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio vibaya kijana inategemea na akili yako imekua kiasi gani na jinsi unavyoweza kuyabeba majukumu ya familia ukiwa kama kichwa cha familia yako.jiulize kwanza kama unaweza kujimanage mwenyewe afu ndo ujue kama utaweza kummanage mke kwanza kisha watoto

ila angalizo usioe mpishi

usioe dobi

usioe mfanya usafi

oa mke ambaye mtaelewana na kuweza kujenga familia madhubuti na kuishi kwa furaha na amani

ukioa kwa sababu hizo jiandae kuwa mtu wa stress sikuzote.
 
Sikushauri kabisa uoe mkuu, labda uone aliekuzid umri na hii itakuja kua changamoto wew utakapofikisha miaka 28 alafu yeye ama 30s, muhimu tafuta njia mbdala, mfano unakua na mmama wa usafi anakuja kukufulia kila jmos, na usafi wa ndan, siku nyingine za week unafagia tu kawaida, ukio Inamaana utaoa under22 atakusumbua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana kuona ukifika balehe ruhsa kuoa ...Kwahiyo usihofu kuoa.bali kuwa makini unayemuowa.Pia angalia na familia ya kuolea....Wasikugeuze kuwa kitega uchumi.....Allah ukufanyie wepesi upate rafiki ktk ndoa ukuepushe kuishi na adui ktk ndoa.
 
Sio vibaya kijana inategemea na akili yako imekua kiasi gani na jinsi unavyoweza kuyabeba majukumu ya familia ukiwa kama kichwa cha familia yako.jiulize kwanza kama unaweza kujimanage mwenyewe afu ndo ujue kama utaweza kummanage mke kwanza kisha watoto

ila angalizo usioe mpishi

usioe dobi

usioe mfanya usafi

oa mke ambaye mtaelewana na kuweza kujenga familia madhubuti na kuishi kwa furaha na amani

ukioa kwa sababu hizo jiandae kuwa mtu wa stress sikuzote.
Daaaah athante sana ndugu ushaur mzur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada usihangaike sana na kufua nna mashina nauza za kufua nguo bei cheeee, kwa nn uumie mikono?

Kwenye ishu za kudeki ndan na mausafi, nicheki pia kuna dd angu ana wasichana special kwa ajili ya usafi.

Nichek dm usioe wanawake hawa umiza kichwa

Mniungeunge nsirudi kijijini
 
Sikushauri kabisa uoe mkuu, labda uone aliekuzid umri na hii itakuja kua changamoto wew utakapofikisha miaka 28 alafu yeye ama 30s, muhimu tafuta njia mbdala, mfano unakua na mmama wa usafi anakuja kukufulia kila jmos, na usafi wa ndan, siku nyingine za week unafagia tu kawaida, ukio Inamaana utaoa under22 atakusumbua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanteeeee xana ndugu nmekuelewa vizur xana unafaa kua mshaur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom