Pole sana Mheshimiwa Tundu Lissu

Pole sana Mheshimiwa Tundu Lissu

unprejudiced

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
3,503
Reaction score
2,870
Pamoja na wote walioguswa na ukatili huu wa majambazi waliomfanyia Mtanzania mwenzetu. Naungana kumpa pole sana Mtz mwenzetu. Huwezi jua adui yako Mana maisha y ana changamoto sana. Ogopeni majibu Rahisi, Ndo watu hutumia kufanya ouvu Mana anajua kuwa wajinga huwa za siasa tu bila kujua adui mkubwa ni yule unayekula naye meza moja kuliko wa mbali. Naamini kabisa Polisi wetu watalishughulikia hili .tuwape muda na ushirikiano .
 
SAFI MKUU ..UMEONGEA KIUTU UZIMA SANA ...ADUI YAKO NIYULE UNAYEKULA NAYE SAHANI MOJA.
 
Kumbukuka kuwa jambazi wa kawaida hawezi kuwa na silaha ya vile!!
Ile ni kitu ya kijeshi na imeratibiwa na walio na jeshi.
Ukishakuwa na urafiki na kagame huwezi kuwa na utu hata siku moja.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana kamanda we wish you a quick recovery sir
 
Back
Top Bottom