Jini Mahaba

Jini Mahaba

Haidal

Member
Joined
Nov 20, 2012
Posts
6
Reaction score
6
Jaman ndugu zangu JF naomben msaada nna mpenz wangu ambaye nampenda sana ila mara nyingi nkikutana naye huwa kisiran sana namuuliza n tatizo ananijibu jeuri na kuna wakati ananiambia kuwa c yy bal anahic kwamba anajini mahaba ndo anamfanya awe ivyo Naitaj msaada wenu wana JF.
 
Ni ngumu kuelewa kama ni kweli ana huyo mnyama au laa. Lakini Jaribu kukaa naye na kufanya uchunguzi na ukigundua kama:
1. Ana huyo jini mpeleke kwa viongozi wa dini wakusaidia kumchomoa haraka
2. Isije kuwa ana mambo yake mengine kichwani na anataka kusingizia jini mahaba ili usimshtukie kuwa ana mtu, au anakasirishwa na tabia zako fulani au ana stress fulani nk

Mazungumzo baina yenu husaidia sana kwenye matatizo kama haya.
 
Una mpenzi wako ambaye unampenda sana, ni vizuri kwa upande wake.
Jaribu kutafuta ukweli kujua kuwa pia wewe ni mpenzi wake ambaye anakupenda sana au la.
Mtu anayekupenda hawezi always kuwa na kisirani sana nawewe.

Tahadhari: isije ikawa ni wewe ndio unalazimishia mapenzi.
 
Dalili ya mtu mwenye jini mahaba na pepo mchafu hizi hapa chini.

1.kuna kujitambua kuwa una majini kwa njia mbalimbali.kujitambua kwa njia ya ndoto na ya dhahiri.

2.dalili za dhahili.

a.kizunguzungu.

b.vitu kutembea tumboni.

c.vicheza mwilini.3

d.kichwa kuuma mara kwa mara.

e.kuhisi mtu anatembea nyuma yako.

f.kupiga mihayo sana.

g.macho kukosa aibu.

h.hasira za mara kwa mara.

i.kupoteza kumbukumbu.

j.ugomvi wa mara kwa mara.

k.maradhi ya kujibadilisha badilisha.

l.kuhisi baridi mara kwa mara.

m.kutojisikia kuongea hasa wakati unapossemeshwa na mtu unaona kama

anakusumbua.

n.masiko kupiga kelele.

o. Kuhisi vitu vinaongea masikioni.

p.kupoteza hela mara kwa mara kwa njia ya kutatanisha.

q.kuharibikiwa na vitu hasa vya moto.

r.matatizo ya hedhi kufungika au kutoka kwa wingi au kukosa kabisa.

s.kufungika kwa kizazi.

t kustuka stuka

u.moyo kuongoka sawa na mtu mwenye presha.

v.kupungukiwa damu na kukonda au kuishiwa maji mwilini.

w.kupungukiwa nguvu za kiume au za kike.

x.kusikia uchungu wakati wa tendo la ndoa au unapomaliza.

y. Kuhisi kichefuchefu unapomaliza tendo la ndoa.

z.kuhisi manukato au harufu mbaya.

aa.kukosa hamu ya kula au kubagua chakula.

bb.mimba kupotelea tumboni.

cc. Kuhisi watu wanakusemesha na hauwaoni.

dd.kifafa.

ee.kichaa.

ff.pia majini humsababisha mwanamke kuwa mkali wakati anapoombwa

tendo la ndoa.

3.dalili katika ndoto.

a.ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali.

b.ndoto za kuota unajifungua.

c. Kuota unapigwa.

d.ndoto za kuogelea.

e. Ndoto za kupaa.

f.ndoto za kuota umepandishiwa jini.

g. Ndoto za kuota umeoa au umeolewa.

h.kuota umevalishwa pete au mkufu.

i.kuota unapigana.

j.kuota unapiga kelele.

k.kuota moto mkubwa.

l. Kuota unazika.

m.kuota umekufa.

n.kuota unafukua kabuli.

o.kuota sherehe mara kwa mara.

p.kuota unaongea na watu waliokufa.

z.kuota unaona visuguu.

aa.kuota unaona mafuvu wa watu.

bb.kuota unapiga ramli.

cc.kuota unavaa bangili au shanga.

dd.kuota watu wanachunga ng,ombe.

ee.kuota watu wamevaa nguo nyeupe..

ff.kuota unakabidhiwa mkuki,fimbo,mundu,mbuzi,kondoo,ng,ombe

na kitambaa cheupe.

gg.kuota vijumba vya mizimu.

hh.kuota vibuyu.

ii.kuota unakunywa au unanyeshwa damu.

kk.kuota watu wamevaa kanzu .

hizi ni dalili za majini kwa njia za ndotoni japo zipo nyingi ila nawatajia hizi hapa

kwa ufupi .na pia namuomba mwenyezi mungu aendelee kunipa fahamu ili niendelee

kuwaelimisha na kuwafundisha mambo mengi ya kuwatambua majini kwa njia za

njozi pia kwa njia za dhahili.watu wengi wanasumbuka na mashetani ,mizimu,majini,

maiti lakini hawajitambui sasa nahitaji kuwapa elimu ili muweze kufaidika nazo.

na pia nawafundisha dawa kwa ajili ya huduma ya kwanza.asante yenu

itanisababisha kazi yangu kusonga mbele hii ni moja ya sadaka.

kwa sasa majini ndio wanaongoza kwa kuwatesa watu ,na kuwatia nuksi,nakuwafilisi ,pia na kuvunja ndoa za watu.

MATIBABU Wasiliana na Mimi kwa njia ya Email baruwa ya pepe Nitumie Email Address yangu hii

fewgoodman@hotmail.com

Au ni add kwenye What's App yako au Viber kwa hii namba yangu +905344508169
 
Na mwenye majini wazuri anajihisije ama kupata dalili gani?
 
Mlete kwenye maombo atabadilika, kwa yesu hakuna linaloshindikana
 
Peleka akapate Maombezi, tatizo litaisha kabisa
 
Jamani hebu acheni mambo yenu hayo msinisababishe niende kutafuta tiba maana dalili karibu zo
 
Hii post yaweza kuwa msaada kwa wengi ngoja tuifufue
 
Mi leo niulize swali, mwanamke anawezaje kuondoa athari za jini mahaba!! Kwa mfano kabla hajaingiwa na jini mahaba alikuwa anaweza kukutana na mumewe kwa siku mara zaidi ya mbili (vijana wanasema bao mbili au tatu na kuendelea)!!

Huyu mwanamke baada ya kupata jini mahaba, yule jini si anaweka sumu zake baina ya hao wanandoa wawili ili wasiweze kukutana kimwili! Sasa jini limetolewa na zile dalili zote za jini kwa huyu mwanamke zimetoweka lakini ule uwezo wa kukutana mara nyingi nao umetoweka!!

Wakipigana kimoja ndiyo doroo hadi kesho yake, kifupi tendo la ndoa halijarudi kwenye raha zake.

Wafanayaje hawa wanandoa waweze kurudi vizuri?? Msaada wenu mshana jr na MziziMkavu
 
Kama ni kweli hilo Jini Mahaba limeondoka na wana ndoa hawana hamu ya tendo la ndoa wale kwa wingi haluwa na maziwa moto watakuwa na hamu ya tendo la ndoa wote wawili.
 
Kwa yule mwenye jini mahaba ni kweli ana dalili asilimia 80 au zaidi ya zilizotajwa. Nimewahi kuwa mke mwenye jini mahaba, yaani ni shida na matatizo. Unahitaji kuwa na uvumilivu wa hali ya juu sana ili muendelee kuwa pamoja. Hatukuweza kuendelea kuishi pamoja pamoja na kuwa tuliishi kwa miaka 8 lakini ilikuwa ngumu sana kuvumilia. Hakika majini mahaba yanatesa sana watu.
Mimi nakubaliana 100% na mzizi mkavu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom