Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Salaam wana MMU
Wakuu sijui mwenzenu ndo nna nguvu nyingi za kiume,sijui tamaa au sijui ni nini hii.
Yani kila nkipata namba ya demu lazima nimtongoze yani kumwacha aende hivi hivi bila kumpiga mistari siwezi.
Hapa nlipo nna namba sita za mademu flani wa kitaa wote nimewapiga vocal wamekubali najipanga tu kuanza kuwagegeda.
Wenye tabia kama hii waje hapa tufahamiane wana chama wa UWANAKUTA (Umoja wa Waomba Namba na Kutongoza Tanzania)
Asanteni.