Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 8,799
- 8,706
Habari ya weekend wana kijiji wenzangu wa humu ndani, ni muda mrefu sijazungumza chochote Leo naomba tushirikiane hili hasa kwa wanaume,
Wanaume wengi sasa
Wamekosa kujiamini mbele ya mwanamke, sijajua kwanini hii imepelekea imepelekea mwanaume kuwa mlalamikaji zaidi, miaka ya nyuma mwanamke ndio alikuwa mlalamikaji katika mahusiano.
Sababu haswa ni nini? Unakuta kabisa mwanaume anashindwa kufanya maamuzi kama mwanaume, wengine hata wanashindwa kwenda kumtongoza mwanamke ambaye amevutiwa naye, ukiuliza utasikia "yule dada matawi" au ooh Mimi sina kazi nitampa nini, kwani amesema akija kwako anataka kazi au kuna matawi yanayoelea bila kuwepo mti wake? Hii imepelekea hata Hawa wanawake zetu kutudharau mwisho wa siku mahusiano yanakuwa hayana afya, mwanaume ndio kiongozi wa mahusiano kama hayajafika hatua kubwa lakin ni kichwa cha familia lazima ujiamini, una mwanamke halafu ukagundua mwanamke anamahusiano mengine eti unakaa naye chini kuniuliza kwanini unanisaliti huo ni ujuha, mwanamke anatakiwa awe na hofu juu ya mume wake, kwamba hapa nikifanya tofauti huyu mwanaume hatutaelewana.
Sijajua nini kimetukumba juu ya hili, mahusiano yenye afya hujengwa na msimamo wa mwanaume na nikuambie tu msimamo wa mwanamke hutegemea zaidi msimamo namtazamo wa mume/mpenzi wake, hebu tuelezane shida ni nini kwanini tunakosa kujiamini huu mjadala ni wa wote mwanamke pia unaweza sema kwa mawazo yako juu ya hili, nawasilisha karibuni