Wanawake wengi wanajua mapenzi ila hawajui kukata kiu ya mapenzi

Wanawake wengi wanajua mapenzi ila hawajui kukata kiu ya mapenzi

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
3,695
Reaction score
5,548
Povu sitaki huu ni ukweli usiopingika,

Wanawake wengi wanajua mapenzi na wengine hata kujua kufanya mapenzi,
ila hawajui kukata kiu ya mapenzi kwa wanaume.

Na ndo maana kumekuwa na malalamiko mengi toka kwa wanawake, kuwa wanaume hatudhiriki, kila tunalofanyiwa.

Ila si kweli, tatizo la wanawake wengi hawajui namna ya kuturidhisha na kukata kiu ya mapenzi, wanachojua ni kufanya mapenzi tu.

.
 
Tukigeuza shilingi nyie mnajua kukata kiu ya mwanamke?

Au mnataka mkatwe nyie kiu huku wenzenu wanabaki na kiu zao.
hahahaha Nilijua tu Haya yatakuja ,ila nyie si kila siku mnaweka uzi mnalalamika kwamba hamkatwi kiu ,basi na sisi pia hamtukatiii kiu ,kwahiyo bila bila[emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Back
Top Bottom