Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni Mwanaume mwenye miaka 26 najitokeza kwa mara ya kwanza katika jukwa hili kwa lengo la hapo juu kwenye heading Nataka kumuoa. Sifa; Umri: miaka 19-22 Elimu : Angalau Certificate,Diploma...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu!… kama heading inavosomeka,,, tangu mke wangu ashike ujauzito wa pili sina hamu nae kabisa,, bali hamu imehamia kwa michepuko adi najishangaa… Mke wangu mwenyewe hanielewi kabisa...
1 Reactions
86 Replies
11K Views
Habari za wakati huu wakubwa. Natanguliza pole zangu kwa wale mliokumbwa na ridandansi mubashara toka chamwino na ambao majina yenu yatachapishwa kuanzia kesho magazetini kwa kugushi vyeti na...
24 Reactions
251 Replies
21K Views
Ukimuona mwanamke anasema siku hizi hakuna wanaume waoaji, ujue huyo anataka pesa hana shida na ndoa, wewe wanaume wapo kibao wanaotaka kuoa wengine wanataka kuoa hadi wake wa nne. Ukimuona...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Ikitokea mwanamke(siyo mke) wa rafiki yako anakupenda na anasema anatamani kufanya mapenzi na wewe utafanyaje, maana hapa nipo dilemma kuna siku tumewahi kufikia mpaka kulana mate ndani ya gari .
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Shamsa na Shabani ni wanandoa ambao wamekuwa katika ndoa kwa miaka isiyopungua 15. Wanasimulia kuwa walianza uhusiano wao wakiwa wapo chuo wakiwa wametokea mikoani mwao. Wakaendelea na uhusiano na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, Nimeolewa na mume wangu kwa ndoa ya kitamaduni toka mwaka 2002 na tumejaliwa watoto wawili wote wa kike (kwa sasa ni wakubwa tu) kila nikimuomba mume wangu tuongeze baby wa mwisho...
16 Reactions
323 Replies
32K Views
Salaam wa MMU Kuna kauli nimeambiwa na mzazi mwenzangu imenifanya niwaze Mara 2 2 Okey ngoja niende kwenye point Mimi naishi mbali na mzazi mwenzangu japo mikoa ni ya karibu karibu. Mimi napiga...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wakuu, Mimi huwa nachukuia sana tukiwa bed unakuta mwanamke ashavua chupi mwenyewe naweza hata kuacha kuendelea na tendo. Huwa napata mzuka nikimvua mwanamke chupi mwenyewe yaani hapo dah full...
21 Reactions
409 Replies
70K Views
Habari wakuu. Nimekua nikiona watu wa karibu naowafaham na wengine kuwasikia tu wanakua kwenye mahusiano na wanawake waliozaa tayari lakini sikua nawachukulia serious kivile lakini hivi sasa...
9 Reactions
84 Replies
13K Views
Ni sura? Makalio? Umbo? Au ninini? Maana hivyo vyote sijaona kazi yake kwenye kufanya mapenzi baada ya kutamani kwenye kufanya uwa ni kulekule Wanaume tuna nini jamani? Au tumelaaniwa. Sent...
10 Reactions
300 Replies
40K Views
Nianze kwa kuwapa pole kwa tukio lilitokea leo,mhe. Tindu Lisu kupigwa risasi,hakika namuombea apone haraka. Niende kwenye mada,leo nimewiwa kuongelea hili suala la utegemezi kwa wanawake wa siku...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani wanajamii.. ni kero ya kelele na matusi ya nguoni toka kwa walevi nyumba ya jirani wanauza pombe za kienyeji na gongo. Si mchana si ucku ni kero ya kelele na matusi sana.. yaani siku...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari za mida wakuu nimejitokeza apa mimi ni kijana mdogo age 22yrs niko na mpenzi wangu yeye umri wake ni 23yrs na for real nampenda sana nae naamini ananipenda sana. SHIDA inakuja apo kwenye...
1 Reactions
115 Replies
22K Views
Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe na mwanaharakati wa zamani wa haki za wanawake na watoto, Balozi Getrude Mongella amesema vitendo vya ubakaji, ulawiti na mimba za utotoni zinaongezeka kwa...
0 Reactions
6 Replies
965 Views
Wanaume mnasahau kua maandiko yanasema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaune kazi yake ni kuhangaika kumtafutia mwanamke. Hii milio ya Nokia imezidi kwa wanaume wa Leo kiukweli unakuta mwanaume...
4 Reactions
67 Replies
8K Views
Habari wana MMU, Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo...
9 Reactions
439 Replies
68K Views
Heshima kwenu, nimekuwa nikitafuta njia ya kupunguza kdg unene wa dushe bila mafanikio, baada ya ku google nimegundua kuna mikanda inauzwa kwaajili ya kupunguza unene, sijajua imetengenezwa kwa...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…