Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Honestly, Leo nimekwazika sana unapopata ka mchepuko kako uko nje hatuwazuii tunajua polygamy runs in your blood mkapendana akakupa tigo au 0713 na ikatokea ukafulia au mmeachana au whatever the...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
wakuu utafiti hupingwa na utafiti. binafsi ni mme wa mtu na baba pia, kama ilivyo desturi ya mume ni lazima utimize kukamilifu kabisa tendo la ndoa pasi na shaka!! wachilia mbali masuala ya...
10 Reactions
40 Replies
7K Views
Miaka ya zamani familia nyingi wababa ndio walikuwa wafanyakazi na wamama wengi walikuwa ni mama wa nyumbani tuu. Ila miaka ya siku hizi ni tofauti sana, Familia nyingi wazazi wote wawili...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimeoa na nampenda mke wangu sana tu, pale kwao kwa baba na mama kuna wapangaji wao kadhaa wa vyumba vya uwani. Mmoja kati ya wapangaji hao ni rafiki wa mke wangu na kila tukienda hapo kusalimia...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Hakuna muda mwingine kuacha huu tulionao sasa. Mara nyingine kati ya vitu vinavyomzuia mwanaume kuwa baba bora ni ile hali ya kutoumaliza uvulana ulio ndani yake. Ili kuwa kwenye kumbukumbu za...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
....
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Kama mada inavyosomeka hapo juu Naishi mbali na mzazi mwenzangu yapata kama kilometers 218 hivi Siku za mwanzo za mapenzi yetu mawasiliano yalikua hot sana wakati huo nasoma chuo na huyo mpenzi...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
USIMPE MOYO WAKO MTU ASIYEJALI HISIA ZAKO Kila simu upige wewe na akipokea mkiongea sekunde kadhaa utamsikia “Ngoja nitakucheki baadaye” kisha anakata simu halafu hakutafuti mpaka umtafute wewe...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii, Mbona watu mapovu kiwango cha reli?? Mtakufa presha kisa mapenzi, Mada ikitolewa sio lazima kuchangia,mjifunze kupita chochoro.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF.! Watu wengi sana wamezoea na kufanya hili kuwa sehemu ya maisha yao bila kujua kuwa ni hatari sana, issue inahusu Kutoa ahadi (Promise) hasa katika mahusiano ua mapenzi...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Akili za usiku lakini.Kumezuka katabia ka wadada hasa maeneo ya dar kuuza Nazi mbata,karanga mbichi,Mihogo mibichi Pweza.Kwa madai yao wateja wao sisi(Me)zinabust wakati wa tendo.Je ni kweli...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wanajamiiforums? Nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu mwaka wa nne sasa na tuna mtoto wa miaka miwili. Nilivyompa ujauzito ilibidi nimuhamishie geto kwangu hapa hapa Dar, Mimi elimu yangu...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
kauli zake "nimechochola kuzaa na wewe" "nimebugi kuzaa na wewe" "najuta kuzaa na wewe" pia mwezi wa uliopita alisema hata nikimuacha nisije nikamsumbua kuhusu mtoto"naomba umsahau mpaka mtoto"...
7 Reactions
104 Replies
10K Views
Habari za Jumapili, Kuna vijimambo vidogodogo lakini vinatesa sana watu kiasi kwamba baadaye mtu hujuta na kujilaumu nje ya muda. Hii ni kwa vijana mnaotaraji kuoa na mlio oa. Kuna msemo mmoja...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Unawezaje kuwasilisha hisia zako, vision yako? Pale ambapo unauhitaji wa kujielezea lakini watu hawajali, unaweza kuwasilisha/ kujiendeleza mwenyewe? Unawezaje kuwa upfront kuwaambia watu nataka...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu,leo bora niseme tu nisikie na wadau mnasemaje kama mmeliona hili,saiv kila ukikutana na mwanamke mzuri ana ile pete either ni ya uchumba ama ni ndoa,hivi ni kweli wote wanakuwa wapo engaged...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Hiyo ndo mada, maana juzi kuna binti hapa mtaani mzuri ninachati naye lakini bado sijamtongoza naona kama bado mapema ila mwenyewe anapenda sana kuniuliza habari za mpenzi wangu. Hasa sijui ndo...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Bint wa kiislam mwenye nia ya kuolewa...awe ana uelewa wa dini ya kiislam vizuri. AMUOGOPE ALLAH. Swala awe ana swali. Stara na ajiheshimu. Awe hajawahi olewa. Awe hajazaa. Asiwe na historia...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba niwashauri namna ya kumkomesha na kumwacha mpenzi wako mwenye GUBU bila shaka utakuwa ulisha wahi kukutana/kuwa na mpenzi mkorofi sasa iko hivi kumkomesha ata usitumie nguvu fanya hivi...
3 Reactions
28 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…