Nataka nikalipe mahari ila pesa naona haitoshi

Nataka nikalipe mahari ila pesa naona haitoshi

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Habari wanajamiiforums?
Nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu mwaka wa nne sasa na tuna mtoto wa miaka miwili.

Nilivyompa ujauzito ilibidi nimuhamishie geto kwangu hapa hapa Dar, Mimi elimu yangu ni degree yeye alikua la saba na alitoka,kwao nilienda ana mama tu na dada zake kijinin maisha ya kawaida sana, Mimi ni kutoka familia ya kawaida pia ila kipato changu kimeongezeka nilivyoanza kuishi nae.

Sasa nataka nibariki ndoa Kkkt , ila shida mahari ndio bado. Naenda Himo, Moshi mwezi ujao nipeni taratibu za huko, yeye anasema hawana complications.
Nina 1M tu sasa hivi kwa tukio hilo , Je itatosha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeuliza taratibu za kabila lao mkuu kwenye mahari?
 
Aliyekwambia mahari inalipwaga yote nani kaka? Hata ukipangiwa milioni 9 unaweza kulipa elfu 17 na mia tano inatosha kabisa unafanya harusi kisha mahari inalipwa pole pole iliyobaki
Umenitia moyo sana

......
 
Hata laki nne mi ningeenda, natoa laki naahidi iliyobaki...kwisha kazi

Wachaga wasikutishe ni mbwembwe za mjini tu kuna wadogo zangu wameoa huko hivyo hivyo. Kila mtu anapenda pesa
 
Back
Top Bottom