Mbinu bora ya kumwacha mpenzi mwenye gubu

Mbinu bora ya kumwacha mpenzi mwenye gubu

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
12,457
Reaction score
12,714
Naomba niwashauri namna ya kumkomesha na kumwacha mpenzi wako mwenye GUBU bila shaka utakuwa ulisha wahi kukutana/kuwa na mpenzi mkorofi sasa iko hivi kumkomesha ata usitumie nguvu fanya hivi.

Kipindi cha raha ni muda mwafaka wa kumtupilia mbali MPENZIGUBU, kama mna migogoro kila mara amekuchosha anza taratibu kusaka mpenzi mpya ila uwe makini ili upate mpenzi mzuri kwa tabia na vigezo vingine kumzidi yeye, ukisha jihakikishia una (new baby) muite umtake mkasolve mambo yenu yote kabisa na kisha muagane vizuri kuanzia hapo anza kumpotezea huku yeye akiamini kila kitu kiko poa. Akikupigia unapokea na kumuuliza vipi anasemaje? Kwani vipi? Akiuliza mbona ukuelewi mwambie wasiwasi wake tu, hakika nakwambia ataumia na hakika atakoma kukutafuta siyo muda.

Fanya haya ukiwa hauna tena mpango naye hapo sasa chochoea moto wa nguvu kwa baby mpya hakika hautajuta kabisa kumwacha.

ANGALIZO:-
What goes around comes around (Muosha huoshwa pia)
 
Inategemea na aina ya mpenzi ulie nae. Wengine ni kukaa chini na kuongea nao... au kumpa onyo kali sana. Asipojirekebisha... basi mwambie tu nimechoshwa na tabia hiz.. ondoka zako
 
Unalijua gubu wewe au unaongelea gubu uchwara.

Mwenye gubu anakufa na ww na hicho kibwana chako kipya.
 
Na Je Huyu Aliyenipa Penzi Mara Mbili Tu Na Tunamiaka Mitatu Sasa Kwenye Uhusiano... Na Juzi Amenambia Siku Hizi Ananizungusha Kunipa Penzi Hadi Nimuoee... Na Mimi Ndio Kwanza Nina Miaka Minne Mbele Ndio Niwaze Kuoa???
 
Mimi hata sihitaji hiyo kitu.mbona ni rahisi tu unamuita unamwambia sababu halafu unampa nauli asepe zake kitajulikana mbele.
 
Subutu yake aone..![emoji23] [emoji23]
Yule mtangazaji wa kike wa channel yetu pendwa binafsi ndo anaweza shuhudia jambo hili maana yeye alinusurika na kupoteza mama na mme.

We bisha tu mpaka yakukute.
 
Yule mtangazaji wa kike wa channel yetu pendwa binafsi ndo anaweza shuhudia jambo hili maana yeye alinusurika na kupoteza mama na mme.

We bisha tu mpaka yakukute.
Hahahahah..! Usofaru...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom