Hizi pete ni kweli mmechumbiwa?

Hizi pete ni kweli mmechumbiwa?

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,322
Reaction score
6,700
Wakuu,leo bora niseme tu nisikie na wadau mnasemaje kama mmeliona hili,saiv kila ukikutana na mwanamke mzuri ana ile pete either ni ya uchumba ama ni ndoa,hivi ni kweli wote wanakuwa wapo engaged au ni mbinu tu mpya ya kuwakwepa wakware na sisi wewe maneno mengi kuliko vitendo?(pesa)..
nimekutana na mwanamke mzuri sana asubuhi ya leo,ila baada ya kuuona ule mpete wake kidoleni confidence yote ikapotea,dah!
 
Wengi ni urembo tu mi ni shuhuda wa hilo.Kuna mmoja alikuja kuanza kazi katika taasisis moja hivi kusema kweli mtoto mkali kinoma lakini alikuwa na .Pete ya ndoa so nikawa nashindwa kutia vocals zangu.Days letter nikaanza kumzoea na kumpa signal kuwa namkubali basi chick akawa ana respond vizuri tu badae nikatia sound akakubali na lile pete nikalivua nikatupa tu
 
wenye pesa zao hata hawakaguagi wala kutafuta minor excuses ila wabahili ndo zao kukagua hadi nywele
 
Back
Top Bottom