Inawezaje kuwasilisha hisia zako, vision yako?

Principal Focus

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
925
548
Unawezaje kuwasilisha hisia zako, vision yako? Pale ambapo unauhitaji wa kujielezea lakini watu hawajali, unaweza kuwasilisha/ kujiendeleza mwenyewe?
Unawezaje kuwa upfront kuwaambia watu nataka a,b,c katika haya mahusiano au biashara? Kuna muda matarajio yetu hayafikii utendaji wetu lakini wawezaje kutuliza nafsi nakuendelea kusonga mbele kufikia malengo yako!?
 
Kuna wakati huwa Ni vugumu sana kuaminika na watu hasa pale unapotumia maneno matupu kutaka kuelezea kichopo moyoni!
Kwahiyo njia rahisi ni kufanya kitu kionekane ndio angalau utaaminika......

Na pale ambapo utendaji umekuwa tofauti na matarajio kikubwa ni kutokukata tamaa, Ongeza juhudi zaidi kwa kile unachofanya kwa njia mbali mbali kama kuconcentrate kwenye kitu kimoja au kudivesify miradi yako!!!
 
Nimejitahidi kujibu kwa uelewa kidogo niliopata kwenye andika lako ingawa jaribu kurahisisha ili ueleweke zaidi!
 
Hivi inakuaje mtu anaandika kiswahili na bado haeleweki...

Huko mashuleni sijui kuna hali gani siku hizi...!!??
Mwakasege anasema kusikia utasikia lakini hauta elewa japo lugha ni moja.. Coz si cha kwako wewe ulivyopokea ni tofauti na wengine watakavyopokea... Unaweza soma biblia mstari mmoja ukakuangamiza na mwingine ukamponya so haina maana kihivyo tafsiri yako.
 
Back
Top Bottom