BioPsychologist
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 723
- 1,019
Habari zenu wana JF.!
Watu wengi sana wamezoea na kufanya hili kuwa sehemu ya maisha yao bila kujua kuwa ni hatari sana, issue inahusu Kutoa ahadi (Promise) hasa katika mahusiano ua mapenzi.
Unaweza kuwa una nia njema sana ya kuahidi MTU na ukawa na nia ya kutimiza AHADI hiyo, lakini kumbuka kuna mambo huweza kuvurugika na ukashindwa kutimiza AHADI yako kwa ulie mu-ahidi hasa katika mda muafaka.
Kwa wengi huchukulia simple tu na kuwa tayari kutoa sababu za kwa nn wameshindwa kutimiza AHADI zao, lakini kwa yule alie ahidiwa siku zote huona kuna nia mbaya ya yeye kutotimiziwa maana hajapata alichoahidiwa kwa mda mwafaka,na hapo ndipo neno UONGO huanzia!
AHADI (promise) nayosemea hap ni KUHUSU MAHUSIANO YA MAPENZI na unapomwambia MTU ahadi unamfanya kisaikolojia awe au ajenge akili ya Utegemezi (Dependant), hivyo kwa asilimia kubwa hupunguza nguvu ya kutafuta hicho anachokihitaji kwingine akijuwa atapata kupitia mtoa ahadi!!
Watoa ahadi wengi hawajui machungu anayopata yule alie ahidiwa pindi anapokwamisha ndo maana WAKATI mwingine hutumia lugha rahisi tu!! Nitafanya, nitakupa,nimekwama kidogo, mda ukifika,usjali, subili n.k
Naamini kama ulishawahi kuahidi au kuahidiwa utakungana na mm haswa nini hutokea kwa MTU alieahidiwa anapokuwa hajatimiziwa,
Oky maana yangu sio kwamba usiahidi,,,,, kwa sababu n Mara chache sana kulazimishwa utoe ahadi ni bora ukasema uhalisia kuwa huna uhakika jambo husika utaweza kutimiza au la!! Lini na wakati gan ! Ukikuta unalazimishwa utoe ahadi maana ake MWENZA WAKO KESHA KUSTUKIA KWAMBA HUAMINIKI HIVYO HUTAFUTA KUTHIBITISHA TU.
USHAURI WANGU
Bali nachokushauri jifunze KUFANYA SURPRISE, hii itakufanya uonekane wa maana zaidi sana na MTU unaejali, surprise ni bora sana kuliko ahadi, usiwe mgumu wa kufanya surprise kwa sababu HUJAOMBWA ,,,,hii kitu aiseee n nzuri hasa kwa wapenzi,,yaan inatoa na kufanya MTU akuone wa thamani sana na unajali.
Ahsanteni sana!!!!