Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Msaada wanajamii, Kuna jamaa tumepanga naye nyumba moja na yeye ana wake wawili kwa hiyo analala kwa zamu na mimi hapa tulipopanga mimi siishi na mke wangu. Sasa jamaa Jana tukiwa tunakunywa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Jaman naitaji Mchumba wa Kike vigezo awe na umri 19&21 asiwe M mbulu, Mrangi wala Mnyaturu awe anajieshimu, awe mcha Mungu kama yupo anifatee kuleee PM nipo sirias kabisa
0 Reactions
7 Replies
992 Views
Habarini za asubuhi Kwa kweli jamii yetu inakoelekea siko hata kidogo.Hii mitandao ga kijamii hasa instagram na facebook ina manufaa yake kwa wanaotumia ktk njia sahihi hasa kibiashara ila kuna...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF, Saivi kumeibuka wimbi la mahari kuwa juu kiasi ambacho vijana wengi wanashindwa kuingia katika ndoa licha ya kuwa na niya yakufanya hivyo. Kwa uoni wangu licha ya maisha...
1 Reactions
96 Replies
8K Views
Jina kamili ni Abdulkadir Bin Hassan, Naishi Tanga, Kazi yangu ni Tour guide, Nina miaka 20, Nahitaji mpenzi serious nahitaji mwanamke anae jitambua kutokana na umri wangu nimeona ni jambo jema...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Hivi kwani huyo mwanamke sio binadamu, hana akili au unahisi kitu gani kimemshawishi? Wanaume tubadilike kama haya malimbwata yametukolea hivi ni hatari. Kwa mfano Mimi namtongoza mwanamke...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Mimi upande wangu kuna mwanamke niliwahi kuwa nae aliniwekea vikwazo vya kimapenzi aliniambia mpka atakapomaliza chuo ndio atakuwa yupo tayari kunipa papuchi. Mimi upande wangu nilimwekea vikwazo...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana...
4 Reactions
196 Replies
18K Views
Baada ya kuachana na puli kwa siku 30, leo niliamua nijaribu kujua nipo fiti kiasi gani, lakini nimepata matokeo yafuatayo; 1)Nimechelewa sana kumwaga bao la kwanza hisia zilikuja kwa mbali...
1 Reactions
154 Replies
23K Views
Baadhi ya wanawake wamekuwa na tabia ya ubinafsi na hela zao yani ikiwa na maana 'changu changu na chako changu' Tafsiri hii imefanya wanaume kuchoka kwani wao wamekuwa wakifanya majukumu mengi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndoa ni jambo jema na lililo barikiwa na Mwenyezi Mungu.Japo kuna wakati mapungufu hayakosekani kwenye ndoa ila faida zake ni nyingi sana. Unapokuwa na ndoa yenye amani,mke/mume mwenye furaha...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Hello my fellow members in JF, let us share what i believe and what i experienced through my friends and relatives. I believes that women mired in obsessive relationships--those they suspect are...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu wakuu. Nauliza hivi kuna mtu amewahi kubahatika kuopoa kimwana mkali kutoka humu? Kuna mtu aliwahi kutilia mashaka uwepo wa wanawake wazuri humu JF hasa hawa wa MMU nikadhani...
30 Reactions
559 Replies
43K Views
Ikitokea unaambiwa uchague kati ya kuwa tajiri lakini unyimwe nafasi ya kuwa na mpenzi, au upewe nafasi ya kuwa na mpenzi anayekufaa (mke au mume) lakini unyimwe nafasibya kuwa tajiri utachagua nini?
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wanajamvi Kuna msichana nipo naye maeneo ya kazi, Tatizo lililopo mimi sina hisia nae ,inatokea anashindwa kufanya kazi zake anangilia zangu, nakunipa negatives kweny kazi zangu, na mimi...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Wakuu habari, Wasomi wa kiume wa siku hizi wanajifanya wapo selective sana katika suala la wake wa kuoa. Wengi hutamani kuoa wake wasomi kama wao na kudhani kuwa, kufanya hivyo ndipo...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Mimi ni mmoja kati ya members ambao kiuhalisia tumekula chumvi kiasi nikiwa nimezaliwa miaka ya nyuma kuliko asilimia kubwa ya members wengi humu ndani. Miaka hiyo nlijiingiza kwenye siasa na ni...
13 Reactions
30 Replies
3K Views
Natafuta rafiki wa kike (girlfriend) wa kubadilishana naye fikra na uzoefu wa mambo mbalimbali. Wasifu Wangu Mfupi kiasi, 5'5 ft, Maji ya kunde Umri,miaka 28 Ni mkristo Nina kazi Napendelea...
0 Reactions
482 Replies
84K Views
siku nilipoambiwa sizioni siku zangu!!!!! Stress
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hapendi mafanikio yako. Huyu akisikia umefanikiwa jambo la heri au hata wazo la kimafanikio ataumia Sana. Furaha yake uwechini yake au mlingane. Huyu ukimpelekea wazo akushauri andika umepoteza...
2 Reactions
3 Replies
984 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…