UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,019
Msaada wanajamii,
Kuna jamaa tumepanga naye nyumba moja na yeye ana wake wawili kwa hiyo analala kwa zamu na mimi hapa tulipopanga mimi siishi na mke wangu.
Sasa jamaa Jana tukiwa tunakunywa akaniambia "mimi ni mwanaume mwenzako na leo nakuambia nimesikia unatembea na mke wangu na nimefanya uchunguzi ila sijakuona na kila nikiisukia sauti yako napata hasira sana ila nimevumilia sana na aliyesema kamuulize mke wangu ila mwisho akaniambia aliyesambaza hayo maneno ".
Na huyu jamaa tunakunywa nae pombe mda mrefu tu anasema kama ni kweli nishakuambia ujue, sasa wadau hii kitu imekaaje?