Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habar hapo juu Toka nianze mahusiano huu ni mwaka wa 5 ni nishawah kuwa kwenye mahusiano na wanawake 25 kama si 27 lakin toka miaka yote...
3 Reactions
171 Replies
10K Views
Number ya simu ime kuwa saved Juma kumbe mhusika ni Mwajuma au Victor kumbe mhusika ni Victoria. Simu inapopigwa unaona jina kwa roho safi unamplekekea mhusika.
14 Reactions
86 Replies
8K Views
Kama mnavyojua balehe ni hatua moja ambayo kjana anakuwa na mihemko sana na wakati huo huo kutongoza wengi hawafanikiwi kukubaliwa. Hii hupelekea kuanza kupiga nyeto kujiridhsha na mtu akishaanza...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Bilashaka Jumamosi yenu ni tulivu, Nimejikuta nawaza kwa sauti tu leo. Fungua mitandao ya kijamii uone wanawake na wanaume wanavo semana na kunangana kana kwamba wapo kwenye vita baridi...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za usiku! Nimekuja mbele zenu ndugu zangu nikiomba mawazo yenu na ushauri wenu kwenye hili tatizo linalotesa nitesa sana. Mimi ni mwanamke nilie kwenye late 20's na kwasasa nipo kwenye...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Sjui nifanyeje anadharau mbaya
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Hello watoto wa kike mko njema? Nataka mwanamke mmoja wa kunipa kampani for some days in Nairobi, Sifa Uwe Mrembo kweli Uwe mrefu si mwembamba, Na Uwe mtanashati jamani, Ntakutumia nauli ya ndege...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Taasisi moja ya utafiti huko ughaibuni imegundua kuwa mwanaume anayejichua ananafasi kubwa ya kumzalisha mwanamke ukilinganisha na asiye jichua. Kwamujibu wa Dk Mike mtu anayejichua mwili wake...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari za wakati ndugu wanajamvi. Poleni na majukumu ya hapa na pale. Ujue mimi ninashangaa sana pale ninapomwona mwanamume anasema ana rafiki wa kike. Mwanamume unawezaje kuwa na rafiki wa...
7 Reactions
74 Replies
10K Views
Mpira kati.... Ngoja niende kwenye pointi moja kwa moja. Kwa miaka mingi nimekuwa nikiona kama nimefanikiwa kudanganya wengi kuwa mimi ni mstaarabu na sishoboki kwa warembo. Katu huwezi sikia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mimi namiss sana: His kisses and hugs Morning sex I miss falling asleep on his chest Sijui wanajf wengine uwa mnamiss nini;);)
7 Reactions
387 Replies
38K Views
Ni hodari wa kuniambia ananipenda na kutumia maneno ya kimahaba kama honey, baby, habiby lakini ninapojaribu kutaka kutoka nae kila siku hupeke siku mbele mfano leo kataka tuonane mwisho wa mwezi...
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako...
26 Reactions
108 Replies
20K Views
Wakuu, Hivi ikitokea siku mama yako amekuwa akikundanganya bila ya wewe kuwa na hata chembe ya shaka kuwa yeye ni mama yako au kuwa baba yako ni huyu hasa kama umekulia nyumba hiyo, umesoma...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Salaam JF, Mimi ni mwanaume 30 years mfanyakazi sekta binafsi. Ninatafuta rafiki wa kike ili baadae Mungu akipenda awe mama watoto wangu. Umri awe above 25. Awe anaishi mikoa ya Songwe, Iringa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
++ Kumekuwepo na mjadala kuhusu ukubwa wa viungo vya unaofaa wakati wa mapenzi ili kumridhisha mwanamke.Wanaume wenye maumbile madogo (Kibamia kama inavyoanza kuzoeleka MMU) na wale wenye...
5 Reactions
171 Replies
40K Views
Naomba kuwasilisha hoja yangu kwenu, Natafuta mwanamke ambae baadae Mungu akipenda awe mke wangu, mimi umri wangu ni miaka 30. Naishi Dar es Salaam, ni muajiriwa wa private sector, mwanamke...
1 Reactions
1 Replies
800 Views
nani ashawahi kutoroka home? kwa sababu yeyote ile,ugomvi au chochote na akaenda kuanzisha maisha yake na akatusua?
5 Reactions
78 Replies
6K Views
Natumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke mwenye hitaji la kupata mtoto kama mimi pia. Awe na sifa zifuatazo: 1. Umri miaka 25-34 2 Anajitegemea kiuchumi 3. Awe tayari kupima afya (HIV) 4. Awe...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…