Utakuta mwanamke yupo katika mahusiano anayoamini yanaelekea katika ndoa, ila baada ya muda utakuta mwanamke ana mimba au mtoto huku mhusika akiwa amebadili mawazo ya kumuoa.
Hapo lawama nyingi...
habar wana MMU,
Nikuwa mpnz wangu amechukia sana baada ya mimi kumuambia hivi,,sio mara ya kwanza,,Lakini nazan ni ukwel kua sijapanga kua nae hapo baadae,, mm ni mwanafunz wa chuo nayeye pia..
Habari Wana JF. Nimehitimu mwaka huu chuo ngazi ya shahada, lakini Nina mkasa wa mahusiano naomba ushauri wenu waungwana.
Nilideti na msichana toka niko mwaka wa kwanza lakini siku za kwanza...
Wajomba na mamshangazi hebu tuambizane hapa tupeane ABCD kwenye mahusiano na namna ya kuyalinda...
Kwenye suala la mawasiliano ya long distance au hata fupi fupi yupi anapaswa kumtafuta mwenzake...
YAMENIKUTA; MCHEPUKO umeniloga siwezi kufanya Mapenzi na Mke wangu na sasa umeolewa!
Naomba unisaidie kupost maana nahisi kuchanganyikiwa. Ninasoma comments labda nitakutana na suluhu nitakuwa...
Habari za alfajiri waungwana?
Kuna mwanamke huwa nammendea leo ana birthday, toka juzi ananiambia eti anataka zawadi ya birthday (ikumbukwe ana mpenzi wake).
Sasa mimi nataka nimtege kwa kumpa...
Kwa dada yangu uliyeolewa au unayeishi kwa muda mrefu na huyo mpenzi wako, usifanye makosa ya kujiunga na mume wako / mpenzi wako akigombana na ndg zake itakuja kukugharimu zaidi wewe mwenyewe...
Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi
Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio...
UUME WAKO SIO RAFIKI YAKO. NI ADUI MPAKA UJIFUNZE KUUDHIBITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
* Uliwahi kujiuliza Kwa Nini siku hizi huwezi kujisimamia? Huwezi kujiamrisha?
Maisha yanahitaji...
Ndugu zangu naombeni ushauri
Mimi ni baba wa mtoto mmoja na nilioa mke wangu mwaka 2023. Kabla ya kuoa mke wangu alikuwa kwenye mausiano na kijana mmoja ambaye kwa maelezo ya mke wangu kijana...
Huyo mchungaji anaitwa Leonard Nombo
Kaamua kujilipua kwa kuoa pisi kali.
Eti kinajimwambafai kabisa kuwa kimewazidi kete wanaume wengine.
Mimi yangu macho na masikio tu.
Watu wote uliofanya nao s€x unawakumbuka kwa majina na sura au list ni ndefu sana huwezi kukumbuka? Kama hukumbuki majina, unafahamu idadi yao?
Kwenye replies za Utamu wa tunda - Part 1 kuna mtu...
Moja kwa moja kwenye mada.
Ipo hivi Kuna mwanamke fulani niliuomba mzigo nikapatana nae kiasi fulani cha hela.
Sasa tukapatana sehemu ya kukutania nikampigia cm eti ananitumia meseji kuwa aje...
Siku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto...
Mzee wetu Haji Manara za ndani kabisa inasemekana karudiana na mkewe ruuuu baadaa ya kubagana na aliekuwa mkewe wake Zaylissa a.k.a twiga.
Manara mzee wetu Ex harudiwi utakuja kulialia mtandaoni...
Habarini wanajamvi.
Inatokea unatumia mtandao wa kijamii kama JamiiForums,Instagram,WhatsApp ama X
...
Kwenye moja na mbili mtu anasema kakuelewa au wewe unamwambia umemuelewa hata kabla...
Kitu ambacho siwezi kufanya ni kumlilia mtoto wa mama mkwe maana naona ni upungufu wa akili namliliaje mtu mzima afu tumekutana ukubwani tu.
Tukizinguana aende tu ni bora nimpende alionizaa...
Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia
1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili
2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat
3.Usioe Mwanamke...