Wanasemaga Ex harudiwi

Wanasemaga Ex harudiwi

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,350
Reaction score
4,296
Mzee wetu Haji Manara za ndani kabisa inasemekana karudiana na mkewe ruuuu baadaa ya kubagana na aliekuwa mkewe wake Zaylissa a.k.a twiga.

Manara mzee wetu Ex harudiwi utakuja kulialia mtandaoni hukumbuki matusi mazito aliokupa wkt mmeachana.

Sisi mzee wetu ukifunga ndoa tena tutakusapoti ila kaa chonjo wanawake ni viumbe sio binadamu.
 
udhibitisho huu hapo down
Harmonize aliachana na kajala, tena wakarudiana lkn mwisho wa yote wakaachana
Diamond na zari walirudiana mwisho wa siku wakaachana
Vanny boy na fahma walirudiana mwisho wa siku adi now hawaelewani hao vilevile washaachana
Madebe na chanuo walitengana mwisho wa siku walirudiana muda kidogo wakaachana wanalea watoto tu
Mose iyobo na anti ezekiel walirudiana mwisho wa siku wakaachana
Juma jux na vanessa mdee waliachana wakarudiana tena wakaachana mazima
kurudiana na Ex sio vizuri kunaviumbe vinatakaga payback unajifanya unaonyesha mapenzi kumbe mwenzio anataka kulipiza kisasi
 
wakati mwingine hasira, zikipoa mioyo inajirudia.. Ndio maana usiingilie mapenzi ya watu
kwa mfano mkeo akwambie kwanza janaume lenyewe hunifikishagi hahahaha hata hasira zikiisha ukweli ushaambiwa huwezi shughuli mkuu🤣🤣🤣 apo lzm ugongewe tu
 
Watu wakoshalala kitanda kimoja na kushiriki kula tunda hawawezi kuachana, hata wakiachana inakuwaga ni kwasababu ya kupishana tuu kauli lakini kiundani kila mtu humkumbuka mwenzie na wakikutana lazima wakumbushie
 
Back
Top Bottom