Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hayawi hayawi leo yamekua!!!! Kwa wale wenye vibamia,msikate tamaa ila mjue namna ya kuvitumia. Nipo na Dadaangu wa hiari hapa tunapata moja bridi moja muotoo!!! Story za hapa na pale tukafikia...
8 Reactions
58 Replies
6K Views
wasalaam wadau!! Vip wewe unaonaje huu utafiti kuna ukweli wowote..............
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari za siku, Eee bwana nina huyu demu wangu fulani ananiumiza akili bila yeye kujijua, yaani ni kwamba namwelewa saana huyu binti na tokea niwe naye nimeanza hata kupata feelings za...
1 Reactions
105 Replies
10K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Ukiona mwenza wako kafikia hatua hii jua askar wangu umechokwa na angalia ustalabu mwingine wa mapenz hapa mjin Ukiona cm...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
naitwa Aicca icca, mimi ni msichana wa miaka 24 soon 25,natafuta mwanaume badae awe mchumba na mme,nature ya kazi inanifanya niwe mbali kidogo na kuendana na ulimwengu unavoenda, mimi ni mkristo...
16 Reactions
94 Replies
7K Views
Heshima kwenu wakuu, Nina mke na watoto wawili na ndoa yangu sasa inakaribia kufikisha miaka 6. Tulipooana tulikuwa tukiishi kwa amani na upendo lakini baada ya kupata mtoto wa pili hali...
10 Reactions
325 Replies
57K Views
Kwa nini tunapenda? unaona kabisa mtu hakufai lakini unashindwa kumuachia.
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Ninastable ajira na shughuli zingine za kiuchumi. Nahitaji 1. Mdada mzuri sana 2. awe na miaka 22-28 3. awe na elimu nzuri---ikiwa ya chuo nzuri zaidi. 4. awe tayari kuwa kwenye uhusiano wa...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Nijitakie heri ya kuzaliwa.Mungu ni mwema nimepitia mengi ila nazidi kumshukuru kwa yote.
0 Reactions
4 Replies
982 Views
A alaykum wapendwa mm kuna kaka nimetokea kumpenda kutoka moyoni nakiri nimempenda huyu kaka kiukweli.huyu kaka nitampa jina x.nilikutana nae week mbili zilizopita lakin nakiri kuwa nimemuelewa(mm...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Hello!wadau mpo wazima,kwa upande wangu nipo gud.niende kwenye mada husika,kuna wapenzi wamegombana kisa mwanaume kabadilishiwa style na mpenzi wake ivyo anamshutumu kua kaanza kugongwa na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanajamvii habari za weekend, nitakuwa nadhulumu nafsi nisipowapa sifa wanawake wote weusi kwa kuwa wananivutia sana huwa nahisi ni kutokana na mimi nilivyo ila.... Kwa wachache niliokutana nao...
33 Reactions
362 Replies
42K Views
Salaam wana jamvi, Kuna inshu huwa sometimes inanifanya nikose raha na kufikiria mengi ni kwamba nina mzazi mwenzangu ambae tumezaa mtoto wa miaka 4 na nusu sasa. Mungu akipenda basi huyu ndo...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Nadhani mnalijua kundi la p square, wametengana kisa mwanamke. Mke wa paul amemshtumu shemeji yake kuwa anataka kumpiga risasi , na kusema anafurahi na inapendeza zaid kama angejitenga awe...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
It is our (girls') thought about this issue, but through some reading I came across with a publication, May be is true ,boys tell us after passing this down The researchers noted that the men...
5 Reactions
53 Replies
46K Views
Sikutaka nisimulie kisa hiki hapa JamiiForums , ila kuna msukumo ndani yangu unaniskuma kushuhudia ili mtu mmoja aweze kupokea uponyaji wake kupitia ushuhuda huu. Mimi Bujibuji Nilikuwa na...
68 Reactions
166 Replies
23K Views
Kati ya dhambi ambayo wengi wenu hua hamuitambui basi ni hii. Hivi like serious wanandoa mnafanya mapenzi kwa kutumia condom kabisa? Na mbaya zaidi makampuni mengi yanatangaza kabisa eti ''panga...
2 Reactions
80 Replies
11K Views
Hapa ndipo dunia imefikia katika kutenda. Huyu sio mtu, bali ni mdoll aliyepewa jina la Harmony V2. Ameundwa na uwezo wa kiufahamu wa bandia. Anaongea na anaweza kufanya kwa hisia mambo mengi...
21 Reactions
301 Replies
71K Views
Uzuri wa mke ni upi? Naona kila mtu anaona kivyake. Mtu anaposema "msichana mkali" huwa mkamilifu kwa lipi ni sura, weupe, urefu, wowowo, au yupi maana utaona mwingine anayesifiwa ana kasura...
2 Reactions
81 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…