Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,814
- 44,611
Aman iwe nanyi wapendwa
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Ukiona mwenza wako kafikia hatua hii jua askar wangu umechokwa na angalia ustalabu mwingine wa mapenz hapa mjin
Ukiona cm unapiga na hapokei had mara tatu jua umechokwa.
Ukiona hata msg ana chelewa kujibu jua umechokwa msela wangu.
Ukiona kabadilika anajibu kwa nyodo nyodo sana na majibu ya mkato jua umechokwa mwanangu
Ukiona anamaliza had siku nzima hajakutafuta hata kwa WhatsApp au msg za kawaida jua umechokwa kamanda.
Ukiona unapiga cm na cm inapokelewa na mtu kisha unaambiwa mwenye cm hayupo jua umechokwa kamanda wangu.
Dawa ya kuchokwa ni moja tu ili upunguze maumivu tafuta hata jimama likupoze msela
Ni hayo tu wako mtiifu NANYUPU
LONDON BABY