Je,huu utafiti ni wa Kweli?

Je,huu utafiti ni wa Kweli?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,087
Reaction score
5,900
wasalaam wadau!!

Vip wewe unaonaje huu utafiti kuna ukweli wowote..............
FB_IMG_1506713733604.jpg
FB_IMG_1506713720277.jpg
FB_IMG_1506713710065.jpg
FB_IMG_1506713733604.jpg
 
Soma uelewe acha kukurupuka,je hayo yaliyoandikwa hapo yanaukweli wowote kwa mtazamo wako..maswala sijui umefanyie wap na lini,duh!!unanipa wakati mgumu..
 
Hayo hayana ukweli..angalia vidole vyako kama vitakuwa size sawa basi nitakubaliaba na hayo

Sio wanawake wote wenye tabia sawa na wanaume pia hivyo hivyo
Mbona sikuelewi aisee,kwani huo utafiti unaonyesha wanawake wanatabia Sawa na wanaume... Au kingereza shida.
 
Kama mtu hauwelewi kingereza bora uache kucomments..kuliko uanze kuuliza maswali ya ajabu ajabu
 
Mbona sikuelewi aisee,kwani huo utafiti unaonyesha wanawake wanatabia Sawa na wanaume... Au kingereza shida.
Wewe ndo hujanielewa..nimekwambia kuwa kila mwanamke ana maamuzi tofauti na mwanamke mwenzake na kwa sisi wanaume pia ni hivyo hivyo

Sio wanawake wote ambao wana sifa hizo zilizoelezwa..wengine ni tofauti kabisa

Men pia sio wote ambao tuna sifa kama hizo..ni baadhi tu
 
Back
Top Bottom