Only woman can come where there is peace and destroy it, ona sasa yawakuta P square watengana leo

venchwa

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
1,677
1,592
Nadhani mnalijua kundi la p square, wametengana kisa mwanamke.

Mke wa paul amemshtumu shemeji yake kuwa anataka kumpiga risasi , na kusema anafurahi na inapendeza zaid kama angejitenga awe kivyake,

Hapo juzi mke wa Paul alitishia kuondoka ka wangeendelea kuwa katika group moja Peter na Paul,

Uamuzi wa Paul umeonekana kulali sana upande wa mke wake,

Taarifa kamili ni kwamba Paul anashutumu Peter kufuatilia mke wake, na pia kutaka kumpiga risasi baada ya baadhi ya makubaliano ya siri Kati ya Peter na mke wa Paul kukwama,

Kaka yao mkubwa akaandika kwenye page yake kwamba only a woman can come where there is peace and destroy it,

Fikiria muda waliotumia kujenga umoja wao, eti anatokea nyangau na kuumaliza na kuondoa aman

Kweli wanawake ni hatari tuwe makini, yaan mwanamke amani ya familia yako anaona haimuhusu ye anajali kwao tu. Lakin kwako kaja kama kutalihi,
Mungu atawalipa, hii imenikumbusha baada ya kaka yetu kuoa hata wakaanza kumuona mama ni mchawi anawaloga, hahaha

Kawatenganisha tiyari
Mkuu ukileta taarifa kama hii tudokeze kidogo ilikuwaje...tuanze kuulizana maswali moja baada ya lingine tena kama tuko katika interview

Tiririka kidogo,io video mi naona picha tu
 
Hawa viumbe bila kua na akili nyingi watakupoteza. Ila hatushangai mana Baba yetu Adam nae aliponzwa na mwanamke
 
Mkuu ukileta taarifa kama hii tudokeze kidogo ilikuwaje...tuanze kuulizana maswali moja baada ya lingine tena kama tuko katika interview

Tiririka kidogo,io video mi naona picha tu
Taarifa kamili ni kwamba Paul anashutumu Peter kufuatilia mke wake, na pia kutaka kumpiga risasi baada ya baadhi ya makubaliano ya siri Kati ya Peter na mke wa Paul kukwama,

Kaka yao mkubwa akaandika kwenye page yake kwamba only a woman can come where there is peace and destroy it,
 
Taarifa kamili ni kwamba Paul anashutumu Peter kufuatilia mke wake, na pia kutaka kumpiga risasi baada ya baadhi ya makubaliano ya siri Kati ya Peter na mke wa Paul kukwama,

Kaka yao mkubwa akaandika kwenye page yake kwamba only a woman can come where there is peace and destroy it,
Pole yao
Lakini hizi cases za usaliti wala sio za kulaumu upande wetu tu kiujumla kama ulivyofanya, kwasababu hata wanaume ni wasaliti wazuri tu
 
Ni kweli ila ninyi ndo mnatushawishi na maumbile hayo
 
Fake news!!!

tatizo ni kaka yao ambae pia ni meneger wao kushirkiana na Poul kuhairisha Show yao ya USA na Canada bila kumshirkisha Peter

na hicho ndo kisa cha kurushiana maneno had kufikia kutishiana maisha

hayo mangine ni muendelezo wa vijembe tuu kwa peter
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom