Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuwa na wasiwasi kutokana na kutomwamini mpenzi nilie nae hivyo nahitaji kwenda kupima UKIMWI. Je ni hospitali ipi ambayo vipimo vyao ni vya uhakika na je huwa kuna gharama yoyote ile ya...
1 Reactions
61 Replies
11K Views
Kwa takribani Muda kadhaa nimekuwa nikifanya kauchunguzi fulani hivi na kidogo ninaanza kupata majibu. Nimekuwa kwenye mahusiano na baadhi ya wanawake ila wengi licha ya kupendana nao ila...
17 Reactions
100 Replies
9K Views
Mmhh hata sijui nisemejee. .. Tabasamu limefunika uso wote nashindwa kulizuia ni sawa na ukijazwa roho mtakatifu unajikuta tuu unanena kwa lugha bila kujizuia yaani hata ukifunga mdomo unafunguka...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu,mada hiyo inajieleza. Nina mpenzi wangu ambaye kwa sasa Yupo kwenye hali ngumu baada ya kulazimishwa aolewe na njemba ambayo haifahamu. Kilichotokea ni kuwa Mwanamke huyu aliachana na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za usiku wa jumapili. Mahaba bado yananizonga sili sipiki sifui sipakui. ..... mahaba haya looh! sina hamu. Jua ni wewe.... Yes... wewe hapo... wewe wewe usigeuke nyuma ni wewe. Kasie...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamii forum Kuna hii kitu ya wadada wengi kupenda kusema wapo kwenye mahusiano naona kama kamfumo fulani kwao yaani kila demu ukigusa anasema yupo kwenye mahusiano. katika...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
Wakati nimekaa sehemu flani pub kuna wanawake wawili nilikuwa nasikia wakizungumza. Mmoja akawa anamwambia mwenzake mimi hata niwe shida vipi au tatizo la namna gani hawezi kumuomba pesa mpenzi...
0 Reactions
113 Replies
11K Views
Wanaume wengi siku hizi tupo very selective ktk wanawake Yaani kila mwanamume anataka mwanamke mrembo wa kumvutia Ila ktk hili, kila mtu ana definition yake ya uzuri huo. Mwanamke anaeza kuwa...
0 Reactions
52 Replies
15K Views
Habari wakuu, Naamini mdogo mdogo namba inaendelea kusomeka, sio ishu tuendeleeni na kujifunza hapa mawili matatu! Wakati nikiwa mwaka wa tatu chuoni nililazimika kutafuta mwanamke ambae anapata...
10 Reactions
72 Replies
6K Views
Daaah! Nianze kwa kushukuru ushauri wenu mlionipa, nilileta uzi humu uliosema Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji? Kiukweli kutokana na mabadiliko nliyoona kwake tangu aende chuo nami...
3 Reactions
93 Replies
7K Views
Wakuu, Kuna binti mmoja nimekutana nae mahali na katika story za hapa na pale nimegundua kuwa alishazalishwa na aliyempa mimba alikataa, binti kwa sasa ana 23 years na yuko mwaka wa mwisho chuo...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
.
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Ladies and gentlemen ,Kabidhaa kapya sokoni wadau na aisee ni bei chee kabisa. Ni kwa wadau wote, waumini wa ka chama ketu, wazee kwa vijana...wote tunajumuika kapata ahueni kwa haka...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
The reason why other woman look attractive is because someone is taking good care of them. Grass is always green where it is watered, instead of drooling over your neighbours green grass, it's...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hivi inapotokea mvulana amekutongoza ukamtolea nje muda ukaenda kidogo ukaja kugundua yule mvulana hakua na nia mbaya wala matatizo ukapendezwa nae lkn wakati huo yy anakupotezea mnajiskiaje?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa.Naombeni msaada wa Mawazo ili namimi nimsaidie aliyepatwa na tatizo maana nimeshindwa namna ya kumsaudia.Jamaa ya yangu alipata mchumba na akaenda hadi kwa wazazi wa mwanamke...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Why is it hard to get True love in Tanzania these days , a week of Dating there must be money be asked from our sisters, is it the new flow ,? Money can be not an issue from a guy's pocket but it...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Unamtongoza mwanamke anakukataa. Unaenda kwa watu kutangaza kuwa anakukataa kwa sababu eti 'anapenda makuu' na kuwa anataka watu wenye pesa. Unadhani wanawake wakiangalia mwanaume wanaona pesa...
12 Reactions
92 Replies
16K Views
Ukiona hadi umefikia hatua ya kusoma vitabu na kukesha social media kujifunza ni jinsi gani inakupasa au utumie njia gani kumpenda mkeo ujue unahitaji operation ya Moyo wahi india fasta[emoji3]
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Aisee awamu hii si ya mchezo mchezo. Niko nyumbani hapa nimezungukwa na watoto wangu mara paap akili inariwaindi nyuma kidoogo awamu iliyopita juma pili kama ya leo nishapigiwa simu na rafiki...
14 Reactions
147 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…