Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,419
Habari wakuu,
Naamini mdogo mdogo namba inaendelea kusomeka, sio ishu tuendeleeni na kujifunza hapa mawili matatu!
Wakati nikiwa mwaka wa tatu chuoni nililazimika kutafuta mwanamke ambae anapata boom ili mambo yaende sawa! hili lilichangiwa na ukweli kwamba hali yangu ilikuwa tete sana ki-uchumi na mimi natokea familia ya kimaskini. Nilikuwa nkijua fika wanawake wanaosoma education ndio kimbilio la wengi pale chuoni kwetu maana ilikuwa rahisi kuwapata lakini mimi sikutaka kwenda pande hizo.
Siku hiyo watu wametangaziwa wakasign boom tena walikuwa BBA 2, basi nkajisogeza ili kutafuta mdau pale, nkampata binti mmoja nkammfuatilia ninavyojua mwenyewe mpaka nkapata namba zake, nkarusha ndoana zangu mpaka akanasa huyu binti. Alikuwa na bwana wake ambae walikuwa dini tofauti na yeye na mimi nlikuwa tunashare religious belief kwa hiyo ikawa rahisi kwangu kutumia fitna za dini kujiweka. Kwa kweli udhaifu wangu kwake ilikuwa tu ni kwamba yeye ana kipato hicho cha boom na home kwao walimtumia pia kidogo, mimi I was good upstairs, charm na muenekano mzuri. Ilikuwa rahisi pia kwa mtu yoyote kujua kwamba ningekuwa na bright future (pengine hili naye aliliona) hivyo ikanifanya mara nyingi wadada wanikubali.
Nlijimilikisha mazima huyu binti, nlimkera sana muumba, na nlimuaminisha kwamba ntakuja nimuoe, maskini mtoto wa watu alijitoa sana kwangu. Alinipa chochote nlichotaka, alifanya vyovyote nlivyoagiza. Nlipokasirika hakuwa na amani, alinilipia ada semester ya pili mwaka ule, nikamhangaisha kutype research yangu maana mimi sikuwa na muda huo. sikumpenda alivyostahili apendwe. Sikutaka kutoka nae, aliniomba tutoke out mara kadhaa nikajitia sababu zisizo msingi. Nilimtambulisha kwa marafiki wachache mno ambao nao pia walijua namzuga tu mtoto wa watu. Kwa kuwa sometime nlikuwa naongea na bi mama wakati yeye yupo ilifika kipindi akajulikana kwa bi mkubwa. Alimjali sana bi mkubwa, in short alikuwa wife materials.
Kipindi hicho tayari mimi ninae mtu wangu ambae ndio hakika nilimpenda, na yeye pia alinipenda maana ndio huyu nipo nae sasa mke wangu.
Mwishoni mwishoni kabla sijamaliza mwaka wa tatu binti wa watu ZU alinishtukia kwamba sina mapenzi ya dhati kwake, nkatumia ujanja ujanja kumuaminisha kwamba nampenda na akaamini tena. I was a bad boy na nlikuwa najua I was not a good boy but ilinibidi tu. Alitaka nimuoe kule kule chuoni na mahari yake nimpe tu kitabu cha qur an lakini kwa kuwa sikumpenda nkamdanganya kwamba amalize tu mwaka wa tatu na yeye halafu mimi ntamuoa kumbe nlikuwa namdanganya. Nlipomaliza chuo nkasubiri mpaka niliporudi chuo for graduation na baada ya hapo hakuniona tena. Alinilaumu na kunilaani sana. Nlijihisi nastahili kulaaniwa na dunia na kila kilichomo ndani yake.
Popote ulipo ZU, I hope you are happy (coz najua uliolewa), I am happy with my wife, mambo yangu super kwa sasa, nimekuwa boss naami katika mradi flani hivi. Natamani nikusaidie kwa lolote ambalo ni tatizo kwako (ila sio mapenz). UNISAMEHE, SITOKUSAHAU NA MUNGU NAKUOMBEA.