Kosa Kukueleza Nakupenda....

Kosa Kukueleza Nakupenda....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Habari za usiku wa jumapili.

Mahaba bado yananizonga sili sipiki sifui sipakui. ..... mahaba haya looh! sina hamu.



Jua ni wewe....

Yes... wewe hapo... wewe wewe usigeuke nyuma ni wewe.

Kasie Mahaba.
 
Mtoa post kumbe ni mwanamke??Sijawahi kujua
 
Habari za usiku wa jumapili.

Mahaba bado yananizonga sili sipiki sifui sipakui. ..... mahaba haya looh! sina hamu.



Jua ni wewe....

Yes... wewe hapo... wewe wewe usigeuke nyuma ni wewe.

Kasie Mahaba.

Umepatwa na jua au mwezi🙁🙁🙁🙁🙁🙁???
 
Mtoa post kumbe ni mwanamke??Sijawahi kujua

Jamanii. ... haya mwandiko umeshindwa kuutambua hata avatar nayo....

Leo umejuaje kama mtoa mada ni mwanamke?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom