Asante mkuu nimekuelewaKwanza nakupongeza Kwa kutofuata ushauri wa kutoa ilemimba.Pili jeshi lumekupa ukakamavu Safi sana.Tatu elewa kuwa hakuna mwana mke wa pekeyako ktk dunia hii hivyo hainahaja ya kumpenda mwanamke up to the maximum
Nmekuelewa kiongozi tatizo linalofanya nizid kupata hasira juu yake bado ananitafuta kila siku kuniomba nimsamehe turudiane nimebadirisha namba zaid ya Mara nne lakini bado anaipataNadhani bado una hasira na upendo kwa msaliti wako.
Jitahidi kupambana, msamehe kwa moyo wote ikiwezekana tulia usiwe na msichna kwanza ujijenge upya kisaikolojia.
Nadhani nae hajakubaliana na hali halisi iliyopo,ukibaki na msimamo wako naamini atachoka na kukubali na ataacha kukutafuta.Nmekuelewa kiongozi tatizo linalofanya nizid kupata hasira juu yake bado ananitafuta kila siku kuniomba nimsamehe turudiane nimebadirisha namba zaid ya Mara nne lakini bado anaipata
Msimamo wangu haubadiriki na hautabadirika, kuna kipindi aliolewa na huyo baba mtoto wake ndio kidogo alikua hanitafuti Mara kwa Mara ila now kaachana na bwana ake imekua kero ila hilo halinipi shida maana najua ntakaza mpaka mwishoNadhani nae hajakubaliana na hali halisi iliyopo,ukibaki na msimamo wako naamini atachoka na kukubali na ataacha kukutafuta.
Basi endelea kukaza inaonekana dhambi ya usaliti inamuumiza.Msimamo wangu haubadiriki na hautabadirika, kuna kipindi aliolewa na huyo baba mtoto wake ndio kidogo alikua hanitafuti Mara kwa Mara ila now kaachana na bwana ake imekua kero ila hilo halinipi shida maana najua ntakaza mpaka mwisho
Yani hadi aliolewa kabisa na bado anasumbua, aiseeMsimamo wangu haubadiriki na hautabadirika, kuna kipindi aliolewa na huyo baba mtoto wake ndio kidogo alikua hanitafuti Mara kwa Mara ila now kaachana na bwana ake imekua kero ila hilo halinipi shida maana najua ntakaza mpaka mwisho
Mpotezee mazima kabisa mkuu,mwanamke kama huyo hafai kabisa....roho inamuuma kwa aliyokufanyia...wanafananaga sana tabia sana hawa watu.Saiv kama kazidi yani anasumbua kwa kasi sana japo hua sijibu text wala sipokei simu zake
Huyo si mwanamke kaa nae mbaliSaiv kama kazidi yani anasumbua kwa kasi sana japo hua sijibu text wala sipokei simu zake