Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Watakuwa wanakupa upendeleo wa Chumba kizuri Mashuka na Mataulo watakayokupa yatakuwa ni masafi kweli na Sabuni nzuri pia Watakushauri aina ya Demu / Mwanamke unayeingia nae Kumngono / Kumbandua...
9 Reactions
33 Replies
5K Views
When you love someone, you shouldn’t do certain things that would make you lose that person. Losing someone you love can be a painful ordeal because you might never get them back. When we’re in...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu ktafuta kilichojiri ulimwenguni nimekutana na habari moja toka BBC imenifanya nitafakari sana nyendo zangu: Simba apatikana akimnyonyesha mwana wa Chui Tanzania : Mwana...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Bila shaka mko vyema... Niende 'direct' katika mada bado sijaingia katika fungate la ndoa ila kuna maswal huwa najiulizaga naona niyalete hapa jukwaan ili tupate maujuzi toka kwenu wadau. Hivi...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwanza kabisa eee Mungu nisamehe dhambi ya kumzalisha dada wa watu mwaka 2010. Pia ingawa aliolewa kwa yeye mwenyewe kukosa subira kutokana na mimi kuwa na safari ndefu ya kusoma, licha ya kumsihi...
5 Reactions
197 Replies
15K Views
Ndugu wanajamvi habarini za asubuhi nawasalimu nyote itifaki imezingatiwa, kwa mliopo kwenye majukumu poleni na hongereni kwa majukumu. Naja mbele zenu tena great thinkers kuomba ushauri , miezi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ni kijana umri wa miaka 29. Mwanafunzi wa shahada ya uzamiri university of Hong Kong. Rangi yangu ni mweusi kiasi mrefu umbo wa wastani kazi yangu mwalimu. Vigezo vya mwanamke...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Salaamu, Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha...
4 Reactions
96 Replies
9K Views
Nakuhakikishia kwa wanawake hawa wa mwendo kasi ukijifanya wewe ni gentleman unajua ku care sana wanawake hawa wa kiafrica hakuna rangi utaacha kuiona hawa wameshazoea...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimefanya uchunguzi nikapata sababu zifuatazo; 1. Kutofikishwa kitandani kwa hapa nimaana hafiki kileleni kabisa 2. Anaweza kuwa anafika kileleni mara zote au mara nyingi lakini kuna michezo...
7 Reactions
129 Replies
17K Views
Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu...
14 Reactions
179 Replies
17K Views
Kulikuwa na bwana mmoja mjini hapa aliyejiona mtoto wa mjini. Siku moja katika matembezi yake alikutana na kijana amevaa blouse badala ya shati na nywele amekata style ya kike, katika mshangao...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Roho inaniuma balaa tangu niachane nae sina raha kabisa,na sasa kaolewa na mume mwingine,Basi Mme wake ananipigia sim kunipa ripoti za mtoto mpaka najiskia vibaya ila jamaa ni mstarabu na...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Hamjambo Huenda watu wengi wameshazungumzia hili na mimi nina ulizo langu kwanini wanawake wengi wazuri hua sio wàaminifu hata akiwa ndani ya ndoa na wengi wanaishia kuwa single hata kama hana...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
SUMU YA KUMUUA MUME Binti alifika kwa mama yake kumlalamikia kuhusu ndoa yake. Malalamiko yake yalikuwa kama ifuatavyo: BINTI: Mama, mume wangu amenishinda. Ninataka kumua lakini nakosa ujasiri...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama Wewe Mwanaume popote pale ulipo na uliye katika Mahusiano ama ya Kindoa na Mkeo au Mchumba wako au Rafiki yako tu wa Kike usije kamwe ukajidanganya kuwa hakutukani au hajawahi kukutukana...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni ngumu na kamwe siyo rahisi kumbadilisha mtu mwenye tabia ngumu awe rafiki. Badiliko hili lawezekana ikiwa mhusika (mwenye tabia ngumu) atadhamiria na kuwatayari kushughulika ili kubadilika...
1 Reactions
9 Replies
14K Views
Hivi mkaka wewe uko single huu si ndio muda wa kujipenda na kupendeka? Imekua unamtoa a lady kwa mtoko wa chakula cha jioni, ile mmekutana tu casual hug ma ma mama we, akiinua kwapa hilo jasho...
15 Reactions
107 Replies
8K Views
Hodi kwenu wana MMU? Straight to the topic. Lately nime develop kitabia cha kum spy mwenzangu sana to the extent naweza check logs zake via my reliable sources in the network nk. Naamini...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mambo, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21, Niko kanda ya kati, nahitaji girl friend wa kuchati, kuwasiliana,ushauri wowote kuhusu maisha, kama upo tayari utani PM. NB: Ukiongea na mwanamke...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…