Mlioko ndani ya ndoa mkuje mtupe somo

Mlioko ndani ya ndoa mkuje mtupe somo

Doswe Dossena

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
314
Reaction score
557
Bila shaka mko vyema...

Niende 'direct' katika mada bado sijaingia katika fungate la ndoa ila kuna maswal huwa najiulizaga naona niyalete hapa jukwaan ili tupate maujuzi toka kwenu wadau.

Hivi mume na mke wakiwa katika tendo huwa wanakunjana mikunjo ya hatari kama tufanyavyo katika mechi za kirafiki au huwa 'wanawekana' kistaarabu.

*Na kama jibu wanawekana kistaarabu itakuwaje kama kabla ya ndoa ulishazoea na kupenda 'mikunjo ya hatari' ilihali ukiwa na mwenzi wako wa ndoa huyapati hayo.

Je hii haitofanya mwanamke kwenda kuitafuta nje ya ndoa hii 'mikunjo ya kibabe'.

☆Mana kwa mwanaume jibu ninalo, huwa wana michepuko ya kando kukamilisha fujo za 'mikunjo ya kibabe.

Hebu tupeni maujuzi na sisi mana tushaanza kufkiria kuowa.

Ahsante.
 
Somo gani tuanze nalo?

La kuacha kodi ya meza?

Jinsi ya kuchepuka na usigundulike?

Jinsi ya kutoa dozi home?

Ama tuanzie wapi cjakuelewa ujue....ndoa ni tofauti na essay kusema utaigilizia kwa mwenzio
 
tunakunjana tu maana wapiganaji ni walewale na silaha ni zilezile
 
Mkuu
Mimi naamini mikunjo na mikao niliyokuwa nampa kabla ya ndoa ndiyo atakayokwenda kupata hata nitakapomuoa.
Yaani sitapunguza kitu labda niongeze.
 
Tena ukiingia ndoani ndio unatakiwa "umkunje" zaidi. Katika makosa tunayofanua mojawapo ni kuwaonea wake zetu huruma, hasa kwenye mambo ya kikubwa. You've got to bang her severely, sometimes just like the way whores are getting banged.
 
Tena ukiingia ndoani ndio unatakiwa "umkunje" zaidi. Katika makosa tunayofanua mojawapo ni kuwaonea wake zetu huruma, hasa kwenye mambo ya kikubwa. You've got to bang her severely, sometimes just like the way whores are getting banged.
Mh
 
Hiyo si vita, mkuu Halafu tunacheza pigo zote inategemea siku na siku, ila me hamridhikagi
Ama!!!!! Kumbe upo kwenye ndoa halafu yule kijana anakuzengea zengea hadi anaanzisha uzi!!!?? Hana adabu kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom