Nifanyeje ili niweze kuacha kum spy?

Nifanyeje ili niweze kuacha kum spy?

simon baker

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
561
Reaction score
767
Hodi kwenu wana MMU?

Straight to the topic.

Lately nime develop kitabia cha kum spy mwenzangu sana to the extent naweza check logs zake via my reliable sources in the network nk.

Naamini mabadiliko mengi yanapaswa kuanzia na mimi mwenyewe, naomba ushauri na muongozo what to do niweze punguza hii obsession.

We both work, ila mkoa tofauti na tunatarajia kufunga ndoa mwakani.
 
Utaweza kuvumilia utakayoyajua!?
mimi ni mtu waku hamaki sana..na hua na erupt nikikuta hata kajuliana hali na mtu ambaye nimewahi mkataza kutokana na hisia zangu..
yupo marketing dep kazini kwao
 
Punguza wivu
Acha kuwa na negative ideas kuhusu mapenzi yenu/mpenzi wako
Jaribu kuwa na imani nae

Jiamini
dah,,,you sound like her..
najitahid ila sijui ni weakness yangu tu kama mwanadamu
 
mimi ni mtu waku hamaki sana..na hua na erupt nikikuta hata kajuliana hali na mtu ambaye nimewahi mkataza kutokana na hisia zangu..
yupo marketing dep kazini kwao
Nakusihi sana jaribu tu umueleze vile unavyopenda usiwafuatilie hao watu utajuta nakueleza mkuu utapata stress usizozitarajia,mapenz yatapungua kwa utakayoyajua acha kabisa
 
Nakusihi sana jaribu tu umueleze vile unavyopenda usiwafuatilie hao watu utajuta nakueleza mkuu utapata stress usizozitarajia,mapenz yatapungua kwa utakayoyajua acha kabisa
Thanks mkuu...today i mark a new beginning ase
alafu naomba kuuliza..mie sio mtu wa michepuko..kuna jamaa yangu kanishauri niwe na kidumu chakupunguza stress juu ya huyu..sasa je huwa inasaidia kuwa na kipoozeo..?
 
Hodi kwenu wana MMU?

Straight to the topic..
lately nime develop kitabia cha kum spy mwenzangu sana..to the extent naweza check logs zake via my reliable sources in the network nk.

Naamini mabadiliko mengi yanapaswa kuanzia na mimi mwenyew..naomba ushauri na muongozo what to do niweze punguza hii obsession..

We both work, ila mkoa tofauti...na tunataraji kufunga ndoa mwakani...
inawezekana ukawa unafanya kazi bure na ivi mpo mikoa tofauti utajuaje ana namba nyingine ya siri na cmu nyingine
 
Thanks mkuu...today i mark a new beginning ase
alafu naomba kuuliza..mie sio mtu wa michepuko..kuna jamaa yangu kanishauri niwe na kidumu chakupunguza stress juu ya huyu..sasa je huwa inasaidia kuwa na kipoozeo..?
Utaongeza stress tu mkuu sababu hiyo ndiyo tabia uliyonayo usiwe namchepuko punguza wivu kwake,muamini,acha kumfikiria vibaya yote yanawezekana
 
Kausha tu mkuu unaweza kumspy kwa namba uliyoizoea kumbe ana nyingine...labda kama una mpelelezi anayemfatilia kimya kimya bila yeye kujua...

BTW punguza wivu kama mchumba wako ni mwaminifu ni mwaminifu tu na kama ni kicheche ni kicheche tu
 
utaongeza maumivu tu, sisi viumbe hatuaminiki (wote)

utakuja jua ya ajabu na kumuacha huwezi nqe akijua ndo kuanza kukuonesha wazi wazi utabaki unalia kama yule waziri aliyepita.
 
Back
Top Bottom