Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mara tukatizamana usoni akarembua kidogooo kwa tabasamu tamu na liliojaa confidence...na mi nikamtiza kwa tabasamu la mshangao na lenye swali...Hivi ndivyo nlivyokutana na mdada mzuri mgahawani...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Je wataka familia na ndoa tulivu? Speaking from my mind Mwanamke mpumbafu atafunja familia yake kwa mkono wake( Bible) Hii inainesha mwanamke ananafasi kubwa ya kuiweka familia idumu au...
32 Reactions
171 Replies
29K Views
Naombeni maombi yenu. Dalili nilizo zisikia kuumwa na kichwa, macho, viungo vya mwili, kichefu chefu, joto la mwili kupanda. Kwa sasa nipo hapa hospital. Majibu yametoka, nasubiri kuchoma sindano...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Hamjambo wana MMU, Migogoro ya ndoa inaongezeka kwa kasi sana maana maarifa mbalimbali yanaongezeka kwa kasi kubwa. Ndivyo mwanamme pia unahitaji maarifa ya kutosha angalau uanze kutengeneza...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Salaam wana jamvi, Nina rafiki yangu wa karibu sana ambaye yeye na mke wake wana changamoto ya kutopata mtoto kwa zaidi ya miaka tisa sasa. Hospitali wameenda na hakuna mwenye tatizo lakini, kwa...
3 Reactions
85 Replies
8K Views
Pole na majukum ya kulijenga taifa. Ila huku vyuma vimekaza Sana.. Niende moja kwa moja kwenye Mada.... Katka harakati zangu za kusaka life pamoja na madem dah! "nimekutana na madem baadhi Kwangu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za leo members, naamini wote ni wazima wa afya. Bila kupote muda niende kwenye maada. Wakuu nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sana kuhusu hii sheria ya dini ya kutokufanya mapenzi kabla...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
hello jf! tukiwa bado tunatafakari ni namna gani taifa letu nalo litaweza walau siku moja kuweza kutuma chombo anga za juu,basi ningependa kuwashirikisha suala flani ili mnishauri namna ya...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Kumekua na matangazo mengi katika majarida, mitandao na hata katika mabango mitaani kuhusu dawa za kuongeza au kunenepesha maumbile ya kike na kiume bila kuwa na side effects!!!! Binafsi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni kawaida kusikia wanawake wakisema yule kijana/mwanaume nimempendea sauti, anavovaa, anavocheka anavotembea nk. Wengine watasema wamependa mwanaume anavotukana au ukorofi na utundu wake au u...
5 Reactions
80 Replies
8K Views
Wanawake wanawaita wapenzi wao wa kiume BABY kwasababu wanawanyonyesha matiti kama watoto wachanga, wanawalisha kwa kijiko, wanawafulia nguo na kuwaogesha, wanawapikia, wanawatandikia mahali pa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Nauleta uzi huu kuomba msaada kwenu wana jamvi. Leo mke wangu kaniuliza maswali haya: 1.Aliyechora ramani ya dunia mwanzo yeye alisimama wapi? 2.Aliyeanzisha shule yeye alisoma wapi? Najua...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nawaonea huruma sana jamaa ambao waliamua kubeba chuki zao za mtaani hadi huku jamiiforums. Kila napoanzisha thread nyoyo zao zinapata joto, mashavu yoote yanawacheza cheza kwa hasira,chuki na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habri za weekend Jf I hope mko poa Ee bwanaa ee si unajua kijana akiwa kwenye kile kipindi cha foolish age anapenda sana kukwichi kwichwi I was one of them sasa bana nikawa naambiwa...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
*TOFAUTI KATI YA WATANZANIA NA WAZUNGU WANAPOTUMA POST ZA KUOMBA USHAURI FACEBOOK*[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] *AMERICAN POST:* Hello, my name is Sandra Stone...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Hi my colleagues! I am on need of a sweet partner for deep insides! For anyone come inbox I am a male being
0 Reactions
5 Replies
811 Views
Hakuna kitu kinachoudhi na kuchanganya kama kuwa katika ndoa au mahusiano na mtu ambae hana uhakika ni nini haswa anataka. Unakuta kuna muda anaonesha kukupenda kweli, then baadae unakuta mtu...
15 Reactions
61 Replies
7K Views
Wasalaam, Huu ukweli mchungu na wala sio mfumo dume bali ni ustawishaji mmojawapo wa ndoa. Mwanamke ulioolewa (sio cellebrity) kupost post mapicha kila mara mitandaoni huku ukiwa peke yako...
11 Reactions
19 Replies
5K Views
  • Closed
Goodafternoon...I hope you are all having a splendid weekend. Straight to the point, this is special for my fellow women and girls.Kuna wadada wanatembea na wanaume za watu but wengine wanatamani...
41 Reactions
370 Replies
50K Views
Mara nyingi sana hii ' Kauli ' Wanawake huisema / huitoa pale tu ambapo wanakuwa na matatizo yao ya Kifamilia na ama Waume zao / Wapenzi wao na ni ' Msemo ' ambao kila ninakopita umekuwa...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom