Jimmy ally
Senior Member
- May 11, 2017
- 156
- 279
Pole na majukum ya kulijenga taifa. Ila huku vyuma vimekaza Sana.. Niende moja kwa moja kwenye Mada....
Katka harakati zangu za kusaka life pamoja na madem dah! "nimekutana na madem baadhi Kwangu nawaita pasua kichwa. Dem wakwanza nilie kutana nae alikuwa ni Dada wa kiislam yani ajat ungemuona dah full ushungi kichwani na baadhi ya nguo nzuri watoto walio lelewa Katka maadri ya kiislam. Nilimsotea Mara kadhaa ananitolea nje kwa Baadae alinikubalia nikachua chumba kwa mawasiliano ya Sim akafka.
Sasa anaingia hivi ndani nikasikia harufu ya sigara japo alikuwa amejipamba vizuri na pia alikuwa amejpulizia manukato safi lakini ile harufu ya fegi kama wanavyo iita watumiaji ilisikika. Tulifanya yetu vizuri ukawa Mwanzo mzuri wa mausiano.
Tulipanga Tena akaja alipoingia kwa mbwembwe nyingi akiwa mchangamfu Sana akafka Anankumbatia na mabusu mengi. Dah! Ukweli niliisikia Tena mchanganyiko wa sigara na bia kwa mbali japo alijitahidi kuswak kinywani. Uzalenndo ulinishinda nadhani wengi mnajua mmoja akiwa katumia mwingine hamna dah.
Niliamua kutunga uongo wa kumdadisi kwa kusema, '' baby naomba uniambie Ukweli coz Kuna kitu umetumia Sasa uwa napenda Sana katumia Ila nikiwa na wewe uwa naogopa si unajua ajati tena. Demu alikaa kama dakka 3.
Nikazidi kumtungia uongo kuwa hata bangi natumia pamoja na pombe zote kali ukitoa viroba. Nikamwambia kuwa nina uzoefu wa kutambua alie vuta pamoja na aliekunywa kwa sababu walevi tunajuana. Niliona ananiangalia kwa mahaba ya kilevi na kukiri kuwa uwa anavuta sigara na nilpo muuliza ulijfunzia wapi akasema toka akiwa mdogo makaka zake wote watatu wanavuta sasa walikuwa wanamtuma awawashie mpaka akajikuta anakuwa mvutaji na bangi anatumia pamoja na pombe zote kali na kwa siku utumia sigara za buku mbali na bangi huvuta mtu akimuudhi na bangi alidai alifundiswa na kaka yake wanaofatana.
Ila akuwa malaya au wa makuu mtaani. Nilimshauri aache japo moyo wangu ulimkataa nikajitoa kwake..
Makuu na wewe uliwai kutana na ihiii au Zaid.