Blackman
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 827
- 296
Habari za leo members, naamini wote ni wazima wa afya. Bila kupote muda niende kwenye maada.
Wakuu nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sana kuhusu hii sheria ya dini ya kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa. Hii sheria mimi siamini kama iliwekwa na Mungu. Nina sababu za msingi za kusema hivo.
Kwanza kabisa binadamu tumeumbwa na maumbile tofauti tofauti. Kuna warefu na wafupi,kuna wanene na wembamba. Hizi tofauti zipo katika maumbile yetu yote wanawake kwa waume,kuanzia muonekano wa nje mpaka viungo vya ndani. Na hili inajulikana kwa kila mmoja wetu.
Swali linakuja,nitamjuaje saizi yangu ikiwa nakatazwa kufanya mapenzi kabla ya ndoa? Maana naweza kuoa mwanamke ambae kimaumbile hatuendani matokeo yake ndoa haitadumu.
Kwa ndugu zetu wakiristo kuna sheria ya kuzuia kuoa mwanamke zaidi ya mmoja. Swali. Nitamjuaje saizi yangu ili nioe mmoja nakulizika.
Swali lingine hivi kwa nini Mungu aliumba kubwa na ndogo?
Mtazamo wangu; Mungu aliumba kubwa na ndogo ili kila mtu ajaribu mpaka apate saizi yake
Angekuwa anataka tusijaribu angeweka namba ili kila mtu achague saizi yake
Wakuu mnaruhusiwa kutoa mawazo yenu endeleeni kutiririka hapo chini