Mwenyewe nmehisi anamfumba kitu kwanjia ya swali.Mkeo atakuwa sio mzima, yani ndiyo maswali anakaa anakuuliza mumewe kweli?
Nipe definition ya 'shule', then tuanzie hapo.Vipi kuhusu historia ya Plato wa kule Anthen,Greece? yeye si ndo mwanzilishi wa shule?
Mjue leo jumapili yangu mmefanya smooth kwa kweli maana kushinda nyumbani kunahitaji ujasiri1.) Aliyechora ramani hakusimama sehemu moja, walitumia majahazi makubwa na kuizunguka dunia nzima, na walipita kwenye kingo za bahari huku wakirekodi mibonyeo na miibuko kwenye kingo za bahari, na kwa kifanya hivyo walipata a'a very sketchy' map of part s of the world. Ramani haikuwa precise na haikuwa ikionyesha sehemu za dunia ambazo hawakuwa wamezitembelea bado.
2.) Shule ni muunganiko wa taaluma mbali mbali, hivyo shule haikuanzishwa na mtu mmoja, na haikuwa rasmi. Watu wa mwanzo shule kwao ilikuwa ni kufundisha watoto wa kiume kuwinda kitoweo misituni na mbugani, shule ya watoto wa kike ilikuwa ni kufundishwa kupika, kukamua ng'ombe n.k, shule ziliendelea kuboreshwa taratibu hadi tukapata huu mfumo rasmi tulionao sasa.Mwambie mkeo "LEGEZA UBONGO WAKO!"
Aiseea place where children go to be educated.