Mara tukatizamana usoni akarembua kidogooo kwa tabasamu tamu na liliojaa confidence...na mi nikamtiza kwa tabasamu la mshangao na lenye swali...Hivi ndivyo nlivyokutana na mdada mzuri mgahawani akanielwa nikamuelwa mara stories mara haooo...twenzetu...basi nikawa nimeokota embe chini ya mbuyuu haoo mpaka DON SUITE ilala...sikuamni kama unaweza kumfaidi mtoto mzuri vile buree kabisa na pesa hatakiiiii....kweli miujiza ipoo...au ni ofa? daah muchas gracias hasma..bint salum....