Niliambiwaga nikaona kama wananizingua ila nimeamini sasa they were right

Atukuzwee

Senior Member
Aug 6, 2017
113
211
Habri za weekend Jf

I hope mko poa

Ee bwanaa ee si unajua kijana akiwa kwenye kile kipindi cha foolish age anapenda sana kukwichi kwichwi I was one of them sasa bana nikawa naambiwa Mwanangu soma wanawake wapo tuu tena wengi utafanya mpaka utachoka na utawaacha duuh mm si nikaonaga mzee ananizinguaa

Daah kweli bhna Yale maneno ya Mzee nimeyaaamini yani sku hizi Nina wanawake kibao mpka yaani now nikimuona mwanamke naona kawaida sanaa coz shakula kila aina ya mwanamke na bado wanakuja daaah

Now nachagua mmoja nibaki nae mpaka nimuoe

Ushauri
Vijana mnaong'ang'ania wanake since mnasoma achna nao soma kaza butii utakuja kukutana nao wengi sana .Mdogo Wangu piga kitabu wanawake wapo Wa kutosha
 
Sawa wamekusikia.

HIV once kimeingia mwilini huwa kina stage tatu.

Yakwanza ,, huwa kinakupa dalili ndan ya miezi miwili MF. Kichwa kinauma sanaaa..unapata rushes ,usonn ,kifuan ,mikoni ..unatokwa najasho Sanaa usiku ,, joto nakichwa kuumwa sanaaaaaa.

Yapili hapa ,unajiona uko Sawa nahamna dalili.

Yatatu hutokea baada ya miaka 5-15, sasa ndio inaitwa AIDS hapa km CD4 zimebaki inizile za kukumbusha mambo mawili.
1/uwepo Wa Mungu.
2/Uwepo Wa Kifo..

Kwaliopima mpaka sasa 1.4 M out of 50 M Tanzanians ni Positive ...kama upo Dar 20% ya wanaoendelea kupima ni Positive .

NAKUZENGUA MWANANGU KULA NYUCHI ZA WANAWAKE MPAKA ZIKUKOME.
 
huyo utakaetulua nae na yeye ndo muda wake wa kuliwa mpaka siku anakuja kutulia umeshakufa kwa presha
 
Je wanawake wanaokimbilia wanaume wakati bado wanasoma unawashauri nn..
Thread yako inabagua tenda haki kwa pande zote.

Compaign ya tz ni zuia mimba na ndoa za utotoni kwa watoto wa kike.

Hollaaaa
 
Back
Top Bottom