Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,788
- 22,133
Habarini wanajamvi,
Katika uzoefu wa kimaisha nimejikuta nikiamini kuwa mwanamke anapokuwa hodari kwenye mapishi ( haijalishi aina ya chakula) hupata credit kwa mwenza ikilinganishwa na mwanamke asiye mtundu jikoni.
Kidume unanunua mahitaji unamletea bi dada kakutembelea halafu matokeo yake unakutana na harufu ya msosi umeungua.
* Wengi wa madada wasiojiweza jikoni wanatoka familia mambo safi, wamezoea kuhemea supermarket, hawajui hata kukuna nazi, jirekebisheni kama mpo humu, msipende kufurahia misosi ya kutolewa out wakati mngeweza kuandaa nyumbani na kwa gharama nafuu.
NB: Hii ni kuwakumbusha tu akina dada, mapishi yaweza kukushusheni thamani amakuwaongezeeni thamani.