Msaada: Hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara

Usa-River

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
980
1,000
Habari za jioni wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada,

Mimi ni kijana mwenye miaka 26 na sijaoa. Tatizo langu kubwa ni hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara, yani muda mwingi mashine inakuwa imesimama iwe asubuhi mchana au usiku.

Nimejitahidi sana kufanya mazoezi lakini sijaona mafanikio. Mimi huwa napenda sana kula vyakula vya asili tu na situmii kilevi chochote wala soda situmii, kinywaji changu kikuu ni maziwa na maji labda na juice ya kutengenezea nyumbani.

Kila asubuhi lazima nifanye mazoezi then napata glass tatu za maji yaliyochanganywa na tangawizi pamoja na kijiko kimoja cha asali, sasa kuna mtu kaniambia huenda ndio chanzo cha kusimamisha ovyo, Je kuna ukweli hapo?

Nilishajaribu pia kukaa na mwanamke ndani kwa mwezi mmoja lakini hali iliendelea hivyo hivyo hadi akawa analalamika kuwa namuumiza tu na akaanza kuniambia kuwa huenda kuna dawa nimetumia ili nimkomeshe wakati siyo kweli.

Ahsanteni.
 

Jozee mkunaji

JF-Expert Member
Jun 11, 2017
457
1,000
Hiyo Hali inanitesa sana kiasi kwamba nimekuwa napenda papuchi kulko kawaida nilifikil ni mm pekee angu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom