Katika maisha maisha!
Nilipomaliza chuo wakati bado nawaza nianzie wapi katika maisha haya, nilikuwa naishi kwenye nyumba moja hivi ambapo ilitenganishwa na ukuta mrefu na nyumba ya jilani:
Ile...
Suppose una mume, mchumba au boyfriend tu, ambaye sometimes you spend 2 or 3 days home kwake, na ana chumba ambacho ni self contained.
Siku moja akaingia chooni na kukuta harufu fulani kali ya...
Wanandoa ndoa wengi wanadhani kuoana ni kuacha kila kitu na kuishi dunia nyingine, yaani eti usipige picha na mwanamke mwingine mara usiongee na wanawake wengine mara uachane na ndugu na marafiki...
Wanawake wanawake wanawake ujue.mungu hapendi,
Anasema ukahaba haachi na anapenda niwe mpenzi wake, Huyu.si uboya huu?
Ilikuwa hivi nilikuwa dhidi ya baba wake wa kambo baada ya mama yake...
Muda mchache sana uliopita tu nimebahatika kuhudhuria Semina moja ya Kijinsia ila inayowajumuisha Wanawake wengi sana ambapo katika mazungumzo mengi ya Kiuwasilishaji kuna Wanawake wengi...
Kauli yake imeniudhi!
Ina maana na mie kaniona ni kilaza nini? Moja ya sababu zilizonifanya nisimuoe ni kutokana na uwezo wake mdogo kiakili. Nikaona huyu ataniharibia watoto sasa leo anatamani...
Wakuu,
Hivi inawezekanaje mwanaume rijali kabisa analilia Noah za Acacia?
Hawa wanaume ni wanaume hawa hawa wenye gololi mbili au ni kina James Delicious?
Acheni undezi wanaume, tupigeni kazi...
Habari za muda wanajamii,
Niende moja kwa moja kwenye point. Miaka kama mitano iliyopita wakati bado barabara ya Mwenge - Tegeta ilikua ina foleni kubwa mara nyingi sana nilikua napata nafasi ya...
Kila ubaya unaofanya ,Basi ni akiba yako unayojiwekea mwenyewe na ipo siku utalipwa,
Ukiwa mla watoto wa watu ,ipo siku naye wako ataliwa ,
Ukiwa mpenda wake za watu ,jua ipo siku wako naye...
Dada zetu sikuhizi mmekua makauzu hakuna mfano, tunalaumiwa bure tu wanaume hatutendi haki vitandani kumbe wakinadada mnachangia sana, kipindi hii unaweza finya msichana to the extent lakini...
Kama kichwa kilivyoanza hapo,
Nikiwa na maana kuwa unaishi na mpenzi wako kwenye mahusiano ya kimapenzi hadi hatua ya ndoa na siku kadhaa baada ya ndoa unaamua kumwambia ukweli kuwa akusamehe...
Habari,
Kila nikiweka uzi hapa watu wanakimbilia kusema kuwa mbona mama yako mwanamke, au wengine wanauliza hauna dada?
Mi nitaendelea kuyasema yanayotakiwa kusemwa,kwakweli inauma sana...
Bosi anamwambia sekretari wake wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.Sekretari anamuaga mumewe kwamba anaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. Mume...
Naombeni nisiwachoshe..
Mwenzenu nimekuwa na relationship ngumu sana. Nimekuwa kama kipofu kabisa mbele sioni.
Mimi niliolewa mwaka 2013 nikabahatika kupata mtoto 1. Mwaka jana mume wangu...
Habari waungwana,
Nimeikuta mahali nimeona nilete hapa ili nione na wanaume wa hapa wanasemaje. Eti mwanaume ambaye hajabahatika kupata mtoto na anatarajia kupata mtoto siku ikiwadia furaha yake...
19/02/2009 saa sita usiku baba wa mtoto wangu (hatukuwa tunaishi pamoja) alinieleza kwa simu kuwa hanihitaji tena na ile barua ya posa alotoa tuisahau na maelezo juu ya malezi ya mwanetu akasema...
Habari
Kwa kipindi kirefu nimekua sina rafiki wa kike hata wa kujualiana hali kwa text,upweke ukastawi na leo nikasema upweke basi acha nijaribu kutafuta hapa kwenye mtandao wangu wa jf.
Sio...
1. Mwanamke ana inteligence kubwa au labda mcharukaji sana
2. Mwanaume ana inteligence kubwa au labda mcharukaji sana
3.Mwanamke ana inteligence ndogo au labda sio mcharukaji
4.Mwanaume ana...