Ninahonga kupitiliza.Mwanamke akiniomba pesa niko radhi nishinde njaa kuliko kumyima pesa.Niko radhi nikope, niko radhi niombe ombe ilimradi nimridhishe.
Juu ya yote kwa kupingwa vibuti...
Unajua ifike mahala wanawake muwaheshm sana wanaume...unajua Mungu hakua na plan ya kuumba MTU wa kike wazo la Mungu ni kumuumba Adam tuu wa kiume sema Adam akaonesha upweke kukaa mwenyewe ndo...
Ngoja niwamegee kesi hii kati ya Hasunati dhidi ya Bashirihussein na mwenzie na ni kesi iliyoripotiwa katika ripoti za kisheria za Tanzania za mwaka 1983.
Je ilikuwaje?
Katika kesi hii Mama...
Nimempiga chini huyu Demu kwa stahili hii na karidhia vizuri kweli.Ni kwamba nilikuwa na mademu wawili na mmojawapo ni mama k baada ya kumwambia huyu kanielewa kama screen shoot ibavyoonyesha.
Imekua ni janga la kitaifa kuhusu biashara ya ukahaba hapa nchini. Makahaba hata wakikamatwa na polisi huachiwa kutokana na polisi kukosa ushahidi.
Biashara hii imekua ikifanyika sehemu za wazi...
Wakuu,
Mchumba wangu ni mjamzito, ujauzito wake wa una umri wa miezi minne. Yeye yupo Mwanza, mimi nipo Arusha.
Alipoanza kwenda clinic alipewa dawa za kuanza kutumia kwaajili ya madini na...
Habari wakuu,
Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada, nimeandika kiufupi ila ni suala la muhimu sana sana kwa mustakabali wa maisha yangu na familia yetu kwa ujumla.
Mimi ni kijana...
Unajua wazungu wakishaanza kusumbua kichwa kidogo ndipo utakapojua akiri zetu wanaume
Inawezekana ulienda kununua kwa sababu kichwa kidogo kilitawala kichwa kikubwa au inawezekana wewe ni mzoefu...
Hebu tuambie kama upo Na baby wako mida maneno matamu kwa mpenzio
Ikiwa yupo mbali hebu mtumie maneno makali ya kimahaba
Huku ukitaja herufi ya kwanza ya jina lake!
Mpenzi wange A.. Nakupenda...
Mimi niko hapa kwenye mawe marefu karibu na ziwa huku kabaridi kanapiga,Niko pekee yangu na ka huawei kangu,
Napitia jamii forum pole pole ili kuiweka siku yangu ya furaha,nakuta nyuzi mpya na...
kichwa cha mada huenda kikakushawishi uje hatimane umefika uwanjani.
Kwa mwanaume aliekua na afya njema awe na kibamia ama na uume mkubwa. swali linauliza hv
Ni muda gani anachukua katika...
Wakuu,habari zenu?
Siku chache zilizopita niliandika post kuhusu mchepuko wangu kulazimishwa kuolewa na mama/ndugu zake kwa mtu ambae yy hakumpenda.
Baada ya tukio hilo lilimfanya mpenzi wangu...
Mimi ni kijana wa miaka 31 ni mkristo nakaa mtwara vjjn nahitaji mke awe anakaa mtwara awe mkristo umri kuanzia miaka 18-28 kwa mawasiliano zaidi karibuni Pm
Waheshimiwa hamjambo
Mke wangu hivi karibuni amepata kazi baada ya kuwa mama wa nyumbani tangu tuoane, sasa kumekuwepo na changamoto ya usafiri asubuhi wakati wa kwenda kazini, tunafanya kazi...
Kwa mujibu wa baba yangu mdogo, aliniambia MAYALA ni mtu yeyote amabaye ameshatembea na mwanaume au mwanamke zaidi ya mmoja,
Mara nyingi huwa tunakutana na watu tofauti tofauti hasa kwenye...
Amani iwe nanyi watu wa Mungu
Awali ya yote namshukuru Mungu kwa kila jambo ninalokutana nalo ktk safar yangu ya maisha hapa duniani,
Namshukuru Mungu kwa uzima, afya na nguvu, ukweli magonjwa...
Tangu asili kazi ya mwanamke ni kumsaidia mume wake!sasa hiki kiherehere cha kuwa askari upelelezi mnatoa wapi?Mara ulikuwa na nani?umetoka wapi?nani kakupigia?kazi hii achieni FBI
Miaka kumi na moja iliyopita nakumbuka ndio nimemaliza la saba nikaenda kijijini kwetu mimi na mama yangu mdogo.
Huyu mama yangu mdogo kule alikuwa na mchumba wake wamepanga waowane basi...
Ama kweli siku za mwizi ni arobaini,
Ebwana nina kamchepuko kangu katoto kabishi kabisa under 25 yani huwa tunawasiliana oraly but jana si kamenipitia ofisini kamenikosa na nilikaahidi vihela...