bobby dolat
Senior Member
- May 18, 2015
- 167
- 263
Waheshimiwa hamjambo
Mke wangu hivi karibuni amepata kazi baada ya kuwa mama wa nyumbani tangu tuoane, sasa kumekuwepo na changamoto ya usafiri asubuhi wakati wa kwenda kazini, tunafanya kazi uelekeo tofauti wa jiji hili la dar,
Sasa kuna huyu jirani yangu, anafanya kazi uelekeo wa kazini kwa wife, na ana gari, huwapa lift wapangaji wake wawili wa kike wanaoishi single na wife wangu anakua wa tatu
Nilimzuia mke wangu kuipanda lift hiyo kwa sababu mbali mbali ikiwemo sifa mbaya za jamaa huyo za uasherati, ameshashikwa uzinzi na mkewe mara kadhaa, lakini kubwa zaidi ni kuwa huyu jirani kuna wakati nakua sina gari either imeharibika au haipo home kwa sababu flani flani, huyu jirani hunipita kituoni kama hanioni vile, ila akiwakuta kituoni wanawake wa mtaani atasimamisha gari na kuwaita kuingia hata bila wao kuomba
Sasa mm huwa namuacha mke wangu nyuma asubuhi naondoka asubuhi sana, kumbe huku nyuma huwa anapanda lift ya lile liasherati kinyume na amri yangu, jirani yangu mwingine ndie amenishtua kwa kuniuliza ""yaani unamruhusu shemeji apande lift ya lile jitu? Ndipo nikashtuka nilikua sina habari, jioni yake nilipomuuliza wife kulikoni, akadai huwa anapanda kwa kuwa kunakua na wanaweke wengine pia, nikamuuliza huwa mnashuka wote kituo kimoja? Akajibu vituo tofauti, nikamkata makofi mengi sana wife, nikamwambia ni marufuku kupanda lift ya binadaam yeyote yule wa jinsia ya kiume, hata ikibidi kutembea kwa miguu atembee kama hakuna public means au lift za wanawake
Cha kushangaza lift za wanawake wenzao zimejaa tele mtaani, ukiuliza kwa nn usipande lift ya flani ambae ni mwanamke mwenzio utasikia ooh yule anaringa na kigari chake,
Yaani upo radhi kujipeleka mdomoni mwa li mamba kisa flani anaringa na kigari chake
Sasa ngoja nije nisikie tena amepanda lift ya hilo jitu,
Nonsense