Wanawake jifunzeni wajibu wenu

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Tangu asili kazi ya mwanamke ni kumsaidia mume wake!sasa hiki kiherehere cha kuwa askari upelelezi mnatoa wapi?Mara ulikuwa na nani?umetoka wapi?nani kakupigia?kazi hii achieni FBI
 
Hata kwenye gari kuna vibao vinasema "abiria chunga mzigo wako".

Labda wapo kwenye majukumu ya kulinda abiria..
 
Back
Top Bottom