Wanawake hawakua kwenye plan ya Mungu...

Mkomola

Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
54
Reaction score
61
Unajua ifike mahala wanawake muwaheshm sana wanaume...unajua Mungu hakua na plan ya kuumba MTU wa kike wazo la Mungu ni kumuumba Adam tuu wa kiume sema Adam akaonesha upweke kukaa mwenyewe ndo akaumbwa mwanamke ili amliwaze na kumuondolea upweke pamoja na kupetypety..

Lakn Leo hii sisi wanaume ndo tumekua watu wa kuwapety wanawake jaman hii cyo kaz yetu wanaume....kumsaidia mwanaume ndiyo kazi iliyofanya Muumbwe

LA cvyo msngekuepo
 
ndio Mungu hakosei..ila kumuumba mwanamkeeee...dah
 
Nimefurahi kweli. Huyo mungu wako ni wa kipekee sana yaani mlikuwa naye mkapanga muongezee mwanamke duniani?? Ni nani alimshauri mwenzake hapo. ni wewe au?? Kufuru zingine kweli naona zinazidi kiwango cha lami. Lakini, wanasemaga, Mungu si Athuman!!! Ingekuwa hivyo, naona angelikufanya uwe mwanamke leo ujue kama walikuwa kwenye mpango au ni nyongeza.
Mawazo potofu kama haya ndio yanapelekea wengine kusema, huna haja ya kuoa au kuolewa bali hata same sex ni sawa tu kwani sex is just a pleasure.
 
Genesis huenda ni fix, Mungu alimfinyanga Adam kwa udongo kweli? Ni kwa nini asiumbe mwanaume na mwanamke kwa wakati mmoja? Msimdhalilishe mwanamke kwa hilo. Darwinism ni dira yangu
 
Inawezekana kabisa, ndio maana siku hizi mnagongana wenyewe kwa wenyewe.
 
WITHOUT SEX AND DRINKS (BALIMI) BEING AN ADULT WOULD BE A WASTAGE OF TIME.
 
Unajua ifike mahala wanawake muwaheshm sana wanaume...unajua Mungu hakua na plan ya kuumba MTU wa kike wazo la Mungu ni kumuumba Adam tuu wa kiume sema Adam akaonesha upweke kukaa mwenyewe ndo akaumbwa mwanamke ili amliwaze na kumuondolea upweke pamoja na kupetypety..

Lakn Leo hii sisi wanaume ndo tumekua watu wa kuwapety wanawake jaman hii cyo kaz yetu wanaume....kumsaidia mwanaume ndiyo kazi iliyofanya Muumbwe

LA cvyo msngekuepo
Mungu alipo muumba ADAM akaona si vyema mtu huyu awe peke yake akamtia usingizi na kupoa ubavu mmoja akamuumba HAWA/EVA
 
Back
Top Bottom