Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa ujumla sifa za mume mwema ni: 1.Ametulia si macho juu juu kama nzi kila akionacho hata kichafu chaliwa. 2.Anajiheshimu, anamuheshimu mkewe, ndugu wa pande zote, watu wengine pamoja na...
7 Reactions
57 Replies
37K Views
Hongera sana Wife kwa Moyo wako wa huruma. Ni binti tuliependana sana japo ndoto zetu za kuishi pamoja ziligonga mwamba kwa pingamizi la familia ya Binti ( Jina kapuni) Mke wangu pia alimtambua...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Jana mida ya jioni nikiwa nimevaa pence na T-shirt imeandikwa John cena, nikiwa kwa miguu mdogo mdogo naelekea min supermarket ya kitaani kwetu,nikakutana na dada mmoja mweupe ana mgongo hivi, si...
7 Reactions
156 Replies
11K Views
Binafsi huwa napenda kudanganya umri ili kuendana na mpenz niliyenaye nisiwe mkubwa sana au mdogo sana wewe huwa unadanganya nini?
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Baada ya kugundua u notorious haulipi, sasa umefika 28 huna boyfriend wa permanent wala mchumba umeamua kubadili gear angani. Umefanikiwa tena hata kazi umepata mpya, the new you amekuja na bible...
12 Reactions
58 Replies
4K Views
Hvi mtu mliekuwa naye kwa muda wa miaka 5 mkaachana ntawezaje kumsahau kabsaa? Najitahd lakn kuna muda nkikaa namkumbuka Sana
3 Reactions
26 Replies
3K Views
SIPENDI NAMNA UNAVYOONGEA NA MIMI... "Una matatzo gani wewe? Sikukwambia mimi ufue shati langu la blue? Yaani kila siku wewe ni kusahau tu" akamkoromea mkewe. Mke akatazama pembeni. "Samahani...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii inaitwa prisoners dilema kwa wakaka wa Dar. Wengi wanaona aibu kutoka na madem wa kishamba lakini pia wengi hawawezi kwenda na kasi za ma sista duu wa Sinza.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu naomba ushauri wala sielewi hii kitu kuna mademu kama nane hivi ambao ni marafiki kwenye mitandao fb sasa nikajiunga na instagram so nikawaadd wote marafiki waliopo fb baadaye nikaona haina...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mchawi ni nani ? mchawi ni wewe mwenyewe ambaye kipindi cha nyuma ulikuwa na rafiki yako pete na kidole, mkishirikiana na kusaidiana katika kila hali ngumu za kimaisha. Glafla shetani akawatest...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Siku hizi wanawake wanajifanya mazoea yao kwa nguvu zote waonekane wasichana wachanga wenye chuchu zilizosimama kwa kujaribu kutuvutia sisi. Tumewajua hatukuji ng'oo. Kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanakijiji wenzangu, matumaini mko salama kabisa, bila kupoteza muda nielekee kwenye mada Kumekuwa na wimbi la watu wengi hasa wanandoa kueleza negatives za ndoa kiasi kupelekea wengine...
17 Reactions
153 Replies
57K Views
wala nisiandike maneno mengi maana wale jamaa wenye chuki nitawaua mapema. unajua chuki inasababisha ufe haraka? anyway... jamaa mmoja anasema yeye ameoa ila kiukweli hamfaidi mke wake. maana mara...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Wanajukwaa, Kama mada inavyojieleza, kuna rafiki yangu ameishi na mwanamke kwa miaka 5 sasa na wana mtoto mmoja ila ndoa bado. Sasa jamaa Jana kaja ghetto ananiuliza swali hilo ambalo lipo...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za muda huu wanabodi Sijawahi kuandika uzi jukwaa hili, huu ndo wa kwanza. Kilichonifanya niandike huu uzi ni magumu niliyopitia wiki mbili zilizopita Nilikuwa kwenye uhusiano na binti...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Hello JF, Basi tukiwa tunatafakari mambo mazuri na yenye tija kwa taifa letu yanayoendelea kufanywa na serikali ya Rais wetu kipenzi John Pombe Joseph Magufuli chini ya ilani ya Chama Cha...
24 Reactions
95 Replies
8K Views
Kwanza wana jf habarini za jioni. Kisanga cha rafiki yangu huyu, in kwamba yeye anamke na mtoto mmoja walifunga ndoa ya kikristu. Kwa kipindi walichoishi pamoja walikua na migogolo ya hapa na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wadau embu tusaidiane hii furaha ya huyu bwana inahusianaje na kuonekana kwa siku za bibie ?
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Wanasema mapenzi ni package ya mambo mengi pamoja na tendo la nanilihu. kuna jamaa mmoja bwana nilishawai kuwa nae kwenye mahusiano. Yule jamaa alikuwa na sifa zote za kunidatisha, alinipenda...
28 Reactions
532 Replies
86K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…