Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Za mda huu wadau kwa ujumla wenu, kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Kisa chenyewe ni kuwa,Leo nimempigia mpz wangu na tulikuwa na maongezi ya kawaida sana maana kwa sasa afya yangu sio nzuri...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Hi everyone Kama mwezi nikiwa kiwanja na marafiki,tukipiga maji ya dhahabu nikakutana na Mr mmoja.yuko Ok,ilitokea tukiwa dancing floor akaja kacheza nami.Anajua kucheza and I liked his company...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwanaume Suruali bwana asikwambie mtu,mwanaume utashindia vipi msuli?pesa na vitu muhimu vyote vinakaa kwenye Suruali!mwanaume suruali aisee [emoji1]
0 Reactions
5 Replies
890 Views
Thamani ya kudumu ni kubarikiwa.............
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni pale uko kitandani na umpendaye kwa dhati halafu dude linashindwa kabisa kuamka. Hii imenitokea sana, nakumbuka nilikuwa na mawazo mengi. Mwenye nyumba kodi:::::: nilikuwa na mkopo kwenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za mida wanabodi Nikiri tu mimi ni member mzuri sana wa JF.Ok tuache soga ndefu,ni hivi kuna mwanaume nilizaa nae kitambo kiasi na baada ya mtoto kuzaliwa tu akanipotezea mimi na...
15 Reactions
258 Replies
18K Views
Imekaajee mwanaume ana Mke usiku kuchaa analala na mke wake ana amka naye Ila usiku anamtumia text mchepuko Wa wafanye Phone Sex. Huwa mnataka nini hasa
9 Reactions
97 Replies
10K Views
Wakuu naombeni mtazamo wenu kwa hili swala ati inakuaje una oa mutoto wakike (matured enough) mnakaa nae hata mwezi hauishi anaanza kusema anataka kwenda kwa mama yake.. Yani unakuta upo na mkeo...
4 Reactions
80 Replies
7K Views
Habari wanabodi, leo nilikua nasoma uzi flani hivi ukanikumbusha miaka kadhaa nyuma. Kipindi tupo chuo mwaka wa pili, room mate alikutana na mkaka mmoja hivi katika kuelezana unakaa wapi na...
18 Reactions
154 Replies
13K Views
Habarini wakuu, Swali la utongozaji limekuwa mtihani mkubwa kwa wengi. Hii imekuwa sababu ya wengi kununua makahaba au wengine kuamua kuwa watumwa wa punyeto. Madhara yake ni mengi kama vile...
38 Reactions
263 Replies
37K Views
Mwanamke ni kama Jua unaweza usione umuhimu wake, yaani kila siku unaenda mjini jua lipo tu, unaliangalia lakini huangalii umuhimu wake kwako. Wakati mwingine likiwa kali unaanza kulalamika...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Ivi ni sahihi mpenzi wako kuweka password kwenye simu yake?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Aisee... nimepata mwanamke mmoja ambaye ni muda mrefu kiasi amekuwa akionesha mapenzi mi nikawa namlia timing kwanza. Basi siku akaja akanikubalia nikafungua ukurasa wa mapenzi nikawa namgegeda...
7 Reactions
114 Replies
14K Views
USIDATE NA WAÑAUME WENYE MAJINA HAYA: 1. John-Ni mpenda sifa na Muongo, Kamwe hawezi kukuruhusu ukashika simu yake 2. Brayton-Anapenda kulalamika muda wote, anaringa, anapenda kubembelezwa na...
4 Reactions
137 Replies
23K Views
A man can cheat on his woman and still love her but a woman cannot cheat on her man and still love him. I say this because while men do not have sex with emotions, women can't have sex without...
9 Reactions
60 Replies
16K Views
Wajuzi naomba kueleweshwa ni muda mrefu kidogo nasikia watu wakisema maneno kama kaliwa tigo, anagawa tigo nakadhalika nakadhalika wakimaanisha kitendo cha mapenzi ya kinyume na maumbile na...
7 Reactions
117 Replies
22K Views
Utakuta mwanamke mnene amejazia minyama , toka hilo, hips ndo usiseme lkn kazaa KATOTO KEMBAMBA hata upepo ukivuma kwa kasi kanapeperusha mpaka Zanzibar. je hii ni kwanini au huwa mnawabemenda...
3 Reactions
43 Replies
8K Views
Wengi wetu wameshakumbana na maumivu makali na wana madonda nafsini mwao pamoja na majeraha yaliyosabishwa na mapenzi. Haya yote hutokea baada ya wewe kutendwa. Umeshawahi kujiuliza kwanini...
5 Reactions
9 Replies
8K Views
Hey, hi tena, Kupenda kunatokana na kukubali au kuridhia vile kitu/mtu alivyo na mara nyingi upendo huvutiwa na utu wa ndani sio mara nyingi na huu utu wa nje japo utu wa nje unaweza au usiweze...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Kama Kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo. Binafsi uwa sinaga tabia ya kutongoza wasichana club uwa napenda tu kucheza nao na kufurahi nao baada ya apo kila mtu anachukua hamsini zake. Ila kuna...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…