kuolewa kwa wanawake wazuri

  • Thread starter Crystal field theory
  • Start date

C

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Messages
788
Likes
114
Points
60
C

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2014
788 114 60
habari za sahii...
katika kuketi sehemu hivi nikiwa napata moja baridi isiyo na sukari.
Hivii... hawa wanawake wazuuri kabisa ambao hawataki kuolewa wanataka bata za mjini,hivi huwaga wanakuja kuolewa na watu wa aina gani? kama tunavyoona wasanii wenyewe wanaoaa watu wakawaida mno.

[HASHTAG]#karibuni[/HASHTAG]...
 
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Messages
3,077
Likes
5,745
Points
280
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2014
3,077 5,745 280
Mi swali langu, iv wanaendaga wapi mana wazee wote ninaowaona ni wakawaida. Au ni majini
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
16,086
Likes
29,371
Points
280
Age
75
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
16,086 29,371 280
Chukulia mfano Ray C wa zama zile akijiita kiuno bila mfupa na huyu wa sasa hivi, Nadhani hata ukimkuta uchi utatamani upate na nguvu za giza usione.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
22,259
Likes
20,679
Points
280
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
22,259 20,679 280
Wanakujaga kuolewa na yoyote...
Au wengi wao wanaishia kuwa nyumba ndogo za watu...


Cc: mahondaw
 
K

Kasongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Messages
2,311
Likes
1,583
Points
280
K

Kasongo

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2007
2,311 1,583 280
Isiyo na Sukari ni ipi hiyo ndugu maana sasa hivi Blood Sugar ni tishio.Kuna wengine ni wazuri na wana tabia nzuri 2%.waliosalia 88% wanapata kazi kweli kuolewa kwa sababu wanakuwa na tabia za ajabu ajabu
 

Forum statistics

Threads 1,250,869
Members 481,514
Posts 29,748,938