Najuta kufumaniwa


L

lee jack

Senior Member
Joined
Jan 17, 2017
Messages
131
Likes
32
Points
45
L

lee jack

Senior Member
Joined Jan 17, 2017
131 32 45
me nakushauri urudi nyumbani uombe msamaha hao watoto walioona utupu wako wanamiaka mingapi
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
22,223
Likes
5,440
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
22,223 5,440 280
Uzinzi haujawahi kumwacha mtu salama
 
J

jojipoji koromije

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
788
Likes
1,032
Points
180
J

jojipoji koromije

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
788 1,032 180
Hii story mpelekee Shigongo!! Itakulipa.
Acha kuleta hadithi Za abunuasi hapa.
 
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
8,807
Likes
15,127
Points
280
Age
34
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
8,807 15,127 280
Haya ndiyo matatizo ya kuishi kwenye nyumba za chini! Ungekuwa unaishi kwenye nyumba ya ghorofa kama mimi :rolleyes:, mambo kama haya yasingekutokea. Mpaka watu wamalize kupanda ngazi mnakuwa mmeshamaliza kuvaa!

Usipate taabu mpenzi, maua, mpenzi upepo.
ULIYOYAFANYA HAPA DUNIANI SI MAGENI!
Wewe wabebee mizawadi kibao watoto uwapelekee watasahau yaliyotokea. Wife mwambie kisa ni pombe na umuombe msamaha!
 
Hajar

Hajar

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
25,498
Likes
66,028
Points
280
Hajar

Hajar

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
25,498 66,028 280
Kama ni kweli basi vyuma vimekaza aiseee, yaani mahoteli yaliyojaa mjini ukaamua kwenda naye nyumbani kwako unakoishi na mke wako. Pole sana mkuu nadhani umepata ulichokitaka.
 
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
3,120
Likes
4,009
Points
280
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2013
3,120 4,009 280
hao watoto hawawezi kusahau hilo tukio trust me...!! hapo kazi unayo rudi tu hivo hivo kibishi
 
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
5,461
Likes
5,864
Points
280
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
5,461 5,864 280
WEWE SIYO MWANAUME, NI MVULANA.

MWANAUME ALIYEKAMILIKA HAWEZI KUPELEKA MCHEPUKO NYUMBA ANAYOISHI NA MKE NA WATOTO HATA KAMA AMESAFIRI KWA MWAKA MZIMA.

KWANINI USINGEMPELEKA HATA G.HOUSE?
 
Nleterewa Nganengo

Nleterewa Nganengo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
4,418
Likes
9,413
Points
280
Age
47
Nleterewa Nganengo

Nleterewa Nganengo

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
4,418 9,413 280
Kweli vyuma vimekaza yaani mahoteli yaliyojaa mjini ukaamua kwenda naye nyumbani kwako unakoishi na mke wako. Pole sana mkuu nadhani umepata ulichokitaka.
Ntakua wa mwisho kuamini hii hekaya.
 
Sakayo

Sakayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
35,650
Likes
103,588
Points
280
Age
30
Sakayo

Sakayo

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
35,650 103,588 280
Mbona kama hadithi hii!!!

Yaani umpeleke mchepuko kwenye nyumbani kabisa???!!! Wala hamkuwa mmelewa, mlijuaje nyumbani na huo ulevi!!! Pambana na hali yako!!!

Tena umewatia watoto nuksi kuwaonyesha nyuchi zenu!!! Muone
 
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
3,373
Likes
1,571
Points
280
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
3,373 1,571 280
Sasa kama ulliona kwa kumwacha huyo dada utaonekana fala endelea naye maanake atazidi kukuona fala kwa kumwacha na kuendelea na familia yako

Pambana na hali yako kata kabisa kunoesha ufala.
Aaaah finally nimekuona
 
H

highness long

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2017
Messages
360
Likes
370
Points
80
H

highness long

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2017
360 370 80
Umeharibu, kwanini ukimbie nyumbani?? Mkeo atahis umehamia kwa hawara wako
 
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
3,373
Likes
1,571
Points
280
ISO M.CodD

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
3,373 1,571 280
Hahahahahahahahaha mzee wa Codes na huku huwa unafika duh kweli milima haikutani ulikuwaga umejifichaga wapi sikuzote hizo?
Nikuulize wewe Blue
 
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
30,778
Likes
164,440
Points
280
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
30,778 164,440 280
Nyumbani ni nyumbani hata kama umefumaniwa.
 
Mama_Aheshimiwe

Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Messages
2,250
Likes
2,785
Points
280
Mama_Aheshimiwe

Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2014
2,250 2,785 280
Acha ujinga nenda kaombe msamaha maisha yaendelee

Watoto wa Nuhu waliona uchi wa baba yao hadi kufanya kabisa sembuse ww
 

Forum statistics

Threads 1,237,598
Members 475,626
Posts 29,294,278